Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Shukrani sana Chief! Nimepata kitu hapa
 
Mkuu mambo vipi Chief-Mkwawa hii itafaa kwa gamings. Nataka ninunue
 
Thanks sana ila je umesema core 2 duo zipo za kizamani je nitagunduaje?
 
Mkuu samahni na nashukuru kwa elimu tamu kam hii
Ila swali langu je ni kivipi naweza ku piga window mashine yangu.
Je kama kuna data zinazotumika nazipataje?
 
Chief-Mkwawa Nimenunua SATA SSD nikaweka kwenye pc yangu sasa katika kuweka nimeona kuna slot ya kuweka NVMe. Je' naweza kuiongeza nayenyewe? Yaan ziwe zote kwa pamoja Sata SSD na NVMe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…