Avit Karoli
Member
- Jul 26, 2013
- 21
- 5
350000 kwa 400000 naweza kupata?budget yako ni kiasi gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
350000 kwa 400000 naweza kupata?budget yako ni kiasi gani mkuu
yap utapata hapo inabidi utafute 3rd gen au zaidi i3/15/i7 na video editing usahau software za adobe utafute zinazokubali quicksync,350000 kwa 400000 naweza kupata?
hio cpu ina turbo hadi 3.1ghz hivyo inawezekana hujui ila inazidi hio 2.1ghz ambayo ni stock. itategemea na joto inalopata, na kiasi cha gpu unachotumia ila muda mwingi itazidi.Chief hivi naweza kuongeza processor speed toka 2.1ghz kufika 2.3ghz na kuendlea katika dell inspiron 5520 core I7-3612QM????
-kwenye cpu HP ina hadi 3.1ghz na acer ina mpaka 2.7 zote ni 6th gen hivyo HP itakuwa na speed zaidiChief-Mkwawa naomba ufafanuzi ktk hizi mashine ili nifanye maamuzi sahihi ktk ununuzi.
1. HP
Intel core i7-6500u. 6th Gen.
Turbo boost techn.2.0 to 3.1GHZ.
HD Graphic 520
AMD REDEON R7 M440
4GB Rum. 500GB Storage.
2. ecers
Intel core i5-6200u. 6th gen.
Turbo boost tech. 2.0 to 2.7 GHZ
HD Graphic 520
NVIDIA GEFORCE 940MX
6GB Rum. 1000GB Storage.
Zote window 10.
Asante KWA ufafanuzi mkuu. Vipi hii ecer ntaweza enjoy game na pia video editing?-kwenye cpu HP ina hadi 3.1ghz na acer ina mpaka 2.7 zote ni 6th gen hivyo HP itakuwa na speed zaidi
-kwenye Gpu 940mx kwenye acer ni nzuri zaidi na inakula umeme mdogo sana wakati hio radeon ya HP ipo slow na inakula umeme mwingi
-storage na ram
acer ina ram na storage kubwa
mkuu utofauti wa hizo cpu mbili ni mdogo sana huna haja ya ku upgrade na ndio utacheza games karibia zote kwa HD.Asante KWA ufafanuzi mkuu. Vipi hii ecer ntaweza enjoy game na pia video editing?
Je siwezi kui upgrade kwenda i7. Na cpu KWA ujumla? Thanks Lini advance mkuu.
Thanks very much.mkuu utofauti wa hizo cpu mbili ni mdogo sana huna haja ya ku upgrade na ndio utacheza games karibia zote kwa HD.
video editing utafanya ila rendering itachukua muda kiasi fulani itategemea na resolution yako utakayo render.
Mkuu hivi CPU overclocking ni auto once it demands much power au you have to force it? Manake nimejaribu kucheck kama kuna namna ya kuset up manake ina turbo boost up to 3.5Ghz, my laptop is HP Envy 17-n109tx-kwenye cpu HP ina hadi 3.1ghz na acer ina mpaka 2.7 zote ni 6th gen hivyo HP itakuwa na speed zaidi
-kwenye Gpu 940mx kwenye acer ni nzuri zaidi na inakula umeme mdogo sana wakati hio radeon ya HP ipo slow na inakula umeme mwingi
-storage na ram
acer ina ram na storage kubwa
Mkuu hivi CPU overclocking ni auto once it demands much power au you have to force it? Manake nimejaribu kucheck kama kuna namna ya kuset up manake ina turbo boost up to 3.5Ghz, my laptop is HP Envy 17-n109tx
Ahaa, kwahiyo ni auto on demand, na hiyo turbo nilifikiri ni software iko embeddedkuna turbo na kuna overclock ni vitu viwili tofauti.
-overclock unaongeza base clock mfano unaweza ukaieka 4ghz inakaa hapo hapo haishuki
-turbo ni ya muda ukihitaji power inapanda usipohitaji inashuka.
ila ubaya wa turbo ni
-ukirun software ya multithread huipati speed yote, mfano inaandika ina turbo 3.5ghz hapo wamemaanisha core moja tu, core mbili zikifika clock hizo zitarun 3.4ghz zikiwa core nne pengine zitarun 3.2ghz etc
-turbo pia ina mtindo wa ku throttle, hasa kwenye laptop, unapotumia laptop sana inakula umeme mwingi na kupata joto hivyo inapelekea laptop kutofika clock zake zilizoandikwa,
kama utaieka mahala pazuri penye upepo wa kutosha laptop yako itaweza kumaintain hio turbo.
ni hardware mkuu, ni processor imekuwa designed ifanye kazi hivyo, mfano i5 na i7 zina turbo lakini i3 haina turbo. hivyo unaona hata ukiwa na software ya kumanage turbo kwenye i3 haitafanya kaziAhaa, kwahiyo ni auto on demand, na hiyo turbo nilifikiri ni software iko embedded
Mkuu hebu nipe uzoefu wako juu ya upatikanaji wa internal SSD drive hapa mjini pamoja na bei zake pia! Nahitaji kama 2TB hiv ili niireplace na hii HDD ya 2TB.ni hardware mkuu, ni processor imekuwa designed ifanye kazi hivyo, mfano i5 na i7 zina turbo lakini i3 haina turbo. hivyo unaona hata ukiwa na software ya kumanage turbo kwenye i3 haitafanya kazi
Mkuu hebu nipe uzoefu wako juu ya upatikanaji wa internal SSD drive hapa mjini pamoja na bei zake pia! Nahitaji kama 2TB hiv ili niireplace na hii HDD ya 2TB.
Yah! Ina slots mbili za hard drive, ila na waswas na speed kama ntamix na hiyo 128/256 SSD kama ulivosema!huko Duniani 2TB yenye speed nzuri kama samsung evo inauzwa dola 600 hadi 700, sitashangaa bongo ikiwa milioni 2 au zaidi.
labda kama pc yako inakubali kuingia HDD mbili ununue ssd ya 128gb au 256gb kwa ajili ya OS na program zako muhimu, huwa hakuna faida vitu kama miziki, picha na video vikiwa katika ssd.
muone Krait anajua duka wanalouza
Asante mkuu.so nifanyeje ili nicheze game kubwa angalau kwa medium qualityhio cpu ina turbo hadi 3.1ghz hivyo inawezekana hujui ila inazidi hio 2.1ghz ambayo ni stock. itategemea na joto inalopata, na kiasi cha gpu unachotumia ila muda mwingi itazidi.
quality ya games haihusiani na cpu, kama unaweza kurun ge kwa quality ndogo inamaana cpu ipo ok, ukiongeza quality ukiona game lina nasa nasa ujue gpu ndio inazidiwa.Asante mkuu.so nifanyeje ili nicheze game kubwa angalau kwa medium quality