Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Intel® Core™2 Extreme Processor QX9650
12M Cache, 3.00 GHz, 1333 MHz FSB.

Vp kuhusu hyo processor????
 
Intel® Core™2 Extreme Processor QX9650
12M Cache, 3.00 GHz, 1333 MHz FSB.

Vp kuhusu hyo processor????
ni ya mda mkuu, i3 ya kisasa ina nguvu kushinda hio,

ila pia si processor dhaifu inaweza fanya vitu vingi tu vya sasa, sema inapata sana moto na kula umeme mwingi
 
ni ya mda mkuu, i3 ya kisasa ina nguvu kushinda hio,

ila pia si processor dhaifu inaweza fanya vitu vingi tu vya sasa, sema inapata sana moto na kula umeme mwingi
Tupe latest gen+ processor model name ya i3
 
Kulingana na uwezekano wa kirahisi kupatikana kwa i3 za 3rd gen vp ungependekeza mtu aanguke na ip???
i3 3rd gen ni bora zaidi mkuu,

ina nguvu almost mara mbili ya core 2 quad na pia gpu yake ya ndani intel hd4000 utacheza games nyingi tu kwa quality ndogo na hata kama unafanya editing na software zinazokubali quicksync utarender faster kama computer za bei ghali.
 
Model gan unaipendekeza???
 
Model gan unaipendekeza???
model ya desktop au cpu? kama ni generation moja mfano zote ni 3rd gen we angalia tu clock speed yenye ghz kubwa chukua hio.

kama unamaanisha model ya desktop chagua yoyote tu, dell, hp, lenovo wote wapo vizuri. ila ukipata series ya biashara au workstation ni vyema zaidi mfano kwa lenovo ni thinkcentre, thinkstation. dell ni precision, optiplex hp ni z series, prodesk

ukipata za biashara ni durable sana na wanatumia vifaa vizuri ndani na workstation zinakuwa na cooling nzuri na motherboard za ukweli
 
Ok Thanks mkuu. Nahisi mpaka hamna swali tena. Naomba nifunge huu uzi kabsaaaa...


Samahani lakin
 
sasaa mkuu niambie ipi nzuri processor kwa mfano kama mimi nataka high performance kwenye pc yangu bila kujal kama itatumia high power au la
 
mkuu unaposema workstation unamaanisha computer zipi
 
mkuu unaposema workstation unamaanisha computer zipi
workstation zenyewe ni computer ambazo zimetengenezwa kupiga kazi zinakuwa na slot nyingi za ram, slot nyingi za gpu, sometime processor mbili, cooling nzuri etc.

Tanzania zimejaa Kibao tena bei za kutupa unazipata hadi laki 4 pc yenye core 8 au zaidi sema ndio zinakuwa kubwa sana (mwenyewe unaweza usiibebe)

ila tu ufahamu workstation sio za gaming, nyingi cpu zake hazina single thread perfomance ya kutosha, zinafaa kwenye kuedit video na task nyengine kubwa kubwa zinazotaka core nyingi.
 
sasaa mkuu niambie ipi nzuri processor kwa mfano kama mimi nataka high performance kwenye pc yangu bila kujal kama itatumia high power au la
kidunia kwa task zako sasa hivi i7 7700K ndio bora zaidi unapata perfomance nzuri kwenye single thread na multithread ila kibongo bongo ni ngumu kupata computer hii inabidi uagizie nje.

ki bongo bongo kuna i7 3770 hii ni cpu nzuri pia kwa task zako, unaweza ipata kwa chini ya laki 5

mcheki huyu jamaa
MTOTO WA KUKU
 
shukranii sanaa mkwawa itabidi niangalie iyo prefix k ntapohitaji kununuaa pc ase
 
Wakuu hii maneno yakusema pc ikiisha moto ukiwa unatumia then uka connect kwenye umeme ukaendelea kutumia baadaye betry ikiwa furu chajd wanasema unaweza chomoa betry ukatumia umeme direct then ukimalza shughuli zako ukizima pc then unarudishia betry je hii ni sawa kitaalamu? Naomba kufaham ukweli juu ya hilo...
 
Cc Chief-Mkwawa
 
ni sawa ila kuna maana gani sasa ya kuwa na laptop? hapo umeme ukikatika na kazi zako zote unapoteza.

laptop zote za kisasa ukichaji zikifika 100 unatumia umeme wa adapter na sio wa battery hivyo huiharibu battery ukitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…