Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Alafu mkuu naomba mwongozo wa pc nzuri ya kufanyia editing..kutumia .PS ..AI..NA after effect!!

Na pc ambayo ni nzuri kwa games za kisasa!!

Iwe laptop au desktop

desktop unapata i5 2400 ambayo itafanya mambo yote hayo kwa around 250,000 na ukipanda hadi around 400,000 hadi 500,000 unaweza pata i7 3rd gen kama vile i7 3770.

hapo unafanya kila kitu, bado gpu tu ili iwe gaming machine.

kwa mambo ya editing hio ilioekwa hapo juu quadro 4000 ni nzuri na gaming pia sio mbaya sana kwa hio bei.

kwa laptop core i7 au i5 zinazoishiwa na HQ au QM hizi zinaanzia core 4, hivyo zinazaidia kwenye kurender na gaming. sema laptop hizi ni ngumu kuzipata Tanzania.
 
Hebu nipe Recommendation kwa mashine ipi nzuri ya kununua kwa ajili ya editing, flashing and unlocking phone na kuchezea games.
kwa desktop mkuu i5 2400 inatosha kabisa kuanzia itafanya mambo yote hayo sema gpu itabidi utafute mwenyewe.

nenda mtaa wa likoma kkoo, anzia likoma na uhuru mkono wa kushoto kuna duka niliona desktop nzuri kwa bei nafuu, ukikosa nyoosha moja kwa moja na likoma hadi ufike kanisa la kkkt angalia tena kushoto utaona kaale computers pia wana desktop nzuri za 3rd gen bei wanaanzia laki 4 ila nafkiri wanashuka.

kwengine ni discountkubwa wanaangalizana na kituo cha polisi msimbazi wao walikuwa wanauza i5 2400 kwa 255,000
 
Msaada kidogo maana kuna sehemu umeniacha njiani. Gpu ni nini hasa??
 
Msaada kidogo maana kuna sehemu umeniacha njiani. Gpu ni nini hasa??
gpu ni graphics processing unit, ni kifaa kwenye computer ambacho kinadeal na graphics, ukitaka kuona graphics zinazopendeza machoni iwe ni video, games, 3d animation etc utahitaji gpu nzuri.

kwa desktop ipo kama hivi gpu,

xnvidia-geforce-gtx-970-e1452868810621.jpg

unaichomeka kwenye motherboard ya desktop zako kwenye port za pcie

Disable-the-Onboard-Graphics-and-Install-a-New-Graphics-Card-in-Your-HP-Pavilion-6630-Step-7.jpg

ila.kama unaona mambo ya gpu ni kazi kwako tafuta angalau desktop ya 3rd gen yenyewe gpu yake ya ndani hd4000 utacheza games kwa low setting bila kueka gpu nyengine.
 
Boot device not found!!! Kwenye pc naomba msaada hapo mkuu kama una utaalamu kuhusu hilo
kumiliki blog hapa tz unalipia am? pie web je unalipia ama la kama ndio ni kiasi ghani JE KUTENGENEZA WEB HAPA NI SHS NGAP
 
Chief-Mkwawa vp na hii itafaa kwa matumizi ya wastani?View attachment 475944
angalia cpu yake, kama ni apollo lake inafaa kama ni braswell haifai,

cpu za apollo lake (goldmont) ni

Intel® Celeron® Processor J3355
Intel® Pentium® Processor N4200
Intel® Celeron® Processor N3350
Intel® Celeron® Processor N3450

cpu za braswell

Intel® Celeron® Processor J3060
Intel® Pentium® Processor N3700
Intel® Pentium® Processor N3710
Intel® Celeron® Processor N3000
Intel® Celeron® Processor N3010
Intel® Celeron® Processor N3050
Intel® Celeron® Processor N3060
Intel® Celeron® Processor N3150
Intel® Celeron® Processor N3160
 
wakuu habari za leo?Nina pc yangu ilianguka chini lakini baada ya kuanguka haiwaki mpaka mwisho inaonesha mandishi kama ya hiyo picha.Shida inaweza ikawa nini?
 
Attachments

  • pic2.jpg
    pic2.jpg
    182.2 KB · Views: 63
wakuu habari za leo?Nina pc yangu ilianguka chini lakini baada ya kuanguka haiwaki mpaka mwisho inaonesha mandishi kama ya hiyo picha.Shida inaweza ikawa nini?
"reboot and select proper boot device"

pc haioni hdd, either imechomoka au imeharibika.

ifungue icheki hio hdd
 
jana na leo benchmark zimetoka,

better multithread ila still wapo nyuma kwa single thread compare to intel. hivyo kwenye games, cad na software nyengine za single thread bado Amd wana kazi.

ila wamejitahidi sana Amd maana naona intel kashusha bei ya i7 na i5
 
Yeah nimeona! na single thread kwenye games ndiyo yenyewe sasa. Dah kwa hiyo intel walikuwa wanawaibia watu! Washushe tu bei kwakweli. Tusubiri na vega tuone.

Ila sina uhakika kama wataweza kuimprove kwa kiwango kama hiki next time. Kuna jamaa pale amd alikuwa anaitwa jimmy Keller alikuwa yuko safi safi kwenye maswala ya processors na nahisi ndiyo atakuwa ameisapoti sana AMD Ryzen. Sasa yule nasikia amehama AMD.
 
clock speed za ryzen ni ndogo, wakitumia manufacturing technology nZuri wakaipandisha hadi 4.5ghz na wakiongeza ipc kidogo wanaweza fikia single thread perfomance nzuri.

ila hata sasa sio mbaya games almost zote zinachezeka.
 
Ahsante kaka kwa somo zuri, hv nikiwa na lak 6 nkataka kununua pc ntapata yenye processor nzur?
 
Ahsante kaka kwa somo zuri, hv nikiwa na lak 6 nkataka kununua pc ntapata yenye processor nzur?
hapo labda used mkuu,

ila kama utasubiri kidogo pc mpya za apollo lake kwenye range ya 400,000 hadi 600,000 zinakuja mitaani, kwa mambo ya kawaida ni nzuri sana.

ila kama unacheza games, unafanya editing au kutumia software kubwa inabidi tu ununue laptop ambayo imeshatumika kwa hio budget
 
Chief-Mkwawa

ahsante kaka, nahtaji kwa matumiz ya kawaida. kwa upande wa games napenda euro truck simulator
 
Chief-Mkwawa

ahsante kaka, nahtaji kwa matumiz ya kawaida. kwa upande wa games napenda euro truck simulator
game dogo kama hilo litarun,

angalia juu hapo nimelist cpu za apollo lake, kuwa makini usije kuchanganya na nyengine maana hizo nyengine zipo slow
 
Back
Top Bottom