Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #381
Alafu mkuu naomba mwongozo wa pc nzuri ya kufanyia editing..kutumia .PS ..AI..NA after effect!!
Na pc ambayo ni nzuri kwa games za kisasa!!
Iwe laptop au desktop
desktop unapata i5 2400 ambayo itafanya mambo yote hayo kwa around 250,000 na ukipanda hadi around 400,000 hadi 500,000 unaweza pata i7 3rd gen kama vile i7 3770.
hapo unafanya kila kitu, bado gpu tu ili iwe gaming machine.
kwa mambo ya editing hio ilioekwa hapo juu quadro 4000 ni nzuri na gaming pia sio mbaya sana kwa hio bei.
kwa laptop core i7 au i5 zinazoishiwa na HQ au QM hizi zinaanzia core 4, hivyo zinazaidia kwenye kurender na gaming. sema laptop hizi ni ngumu kuzipata Tanzania.