Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Yani hapo uliniacha kidogo unajua i used to be a slow learner clarification plz.
huwa gpu inakuwa na port zake, zile sehemu za kuchomekea waya, sababu kazi ya gpu sio tu kuipa nguvu ya graphics computer, bali pia kukuongezea wewe option mbali mbali za kutumia computer yako.

gpu moja inaweza ikawa na port mbili na kuendelea mfano angalia hii



hapo ukiichomeka hio gpu kwenye desktop yako itakupa hizo port unazoziona za HDMI, Display port na DVI.

hivyo hapo kama una tv ya HDMI utanunua tu waya na unaweza itumia hio tv yako kama monitor pale unapofanya vitu vyako mfano kucheza game.

vile vile ukiwa na monitor ya dvi au display port utaweza tumia na desktop yako.

kwa kifupi desktop itakuwa multipurpose kila aina ya display itakubali.
 
Mkuu hii si kwa kiswahil rahis yaitwa video controllers o nvidia?

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu hio ni gpu, gpu maarufu zipo za aina.mbili za nvidia na AmD.

video controller nafkiri umemaanisha video card, hizi zilikuwa zinatumika sana zamani, zenyewe haziongezi nguvu kama gpu ila zinaipa computer yako port zaidi.

gpu inafanya kazi zote za video card na inaipa pia nguvu desktop upande wa graphics
 
Mkuu naweza nika kupm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pamoja mkuu
 
Kuna game nmeweka kila nkitaka kufungua inasema steam Inactive
angalia folderla setup (installation)la hilo game utakuta kuna crack au folder jengine ndani kuna file kama tatu hivi za steam ambazo unatakiwa uzicopy na kuzipaste ulipo install game lako.
 
angalia folderla setup (installation)la hilo game utakuta kuna crack au folder jengine ndani kuna file kama tatu hivi za steam ambazo unatakiwa uzicopy na kuzipaste ulipo install game lako.
Nlikuwa natumia vga monitor b4 kwny laptop na ilifanya kazi vzr bt leo nme-connect inagoma kwny resolution sipati option ya 1280*1024


Nawezaje kufix hii issue nipate resolution inayohitajiaka
 
Nlikuwa natumia vga monitor b4 kwny laptop na ilifanya kazi vzr bt leo nme-connect inagoma kwny resolution sipati option ya 1280*1024


Nawezaje kufix hii issue nipate resolution inayohitajiaka

umejaribu solution ndogo ndogo kama ku restart pc? sometime unaweza kuta pc imeji update ila haija restart hivyo baadhi ya drivers hazofanyi kazi hadi uzime na kuwasha.

pia jaribu kuchomoa monitor kwenye umeme kisha chomeka tena uangalie.

pia jaribu kwenye setting za resolution pale kuna mod tofauti tofauti kama extended, au kueka kioo cha laptop kisitumike kitumike tu cha monitor au vise versa etc, jaribu mode tofauti tofauti

pia angalia monitor yako kama ina setting za HZ kama umeset HZ nyingi mfano 120HZ inaweza kataa kwenda resolution kubwa eka 60HZ hio ni default ya monitor nyingi.
 
Nimejaribu solution zote hizo lkn bado



 
Mi processor yangu ni hii nashangaa inanzinguaga kwenye game inastack
 
cpu yako sio ya kisasa ila inatakiwa icheze games nyingi tu, games chache sana ndio zikatae.

issue ni kwamba xeon hazina gpu kabisa, inabidi uinunulie gpu ndio iwe na maana,
ok asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…