Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #541
huwa gpu inakuwa na port zake, zile sehemu za kuchomekea waya, sababu kazi ya gpu sio tu kuipa nguvu ya graphics computer, bali pia kukuongezea wewe option mbali mbali za kutumia computer yako.Yani hapo uliniacha kidogo unajua i used to be a slow learner clarification plz.
gpu moja inaweza ikawa na port mbili na kuendelea mfano angalia hii
hapo ukiichomeka hio gpu kwenye desktop yako itakupa hizo port unazoziona za HDMI, Display port na DVI.
hivyo hapo kama una tv ya HDMI utanunua tu waya na unaweza itumia hio tv yako kama monitor pale unapofanya vitu vyako mfano kucheza game.
vile vile ukiwa na monitor ya dvi au display port utaweza tumia na desktop yako.
kwa kifupi desktop itakuwa multipurpose kila aina ya display itakubali.