Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

asante kwa mchango chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tv yangu inapeleka umeme Mdogo kwenye external HDD inashindwa kufungua inablink tu. Ni Samsung 4 series 4000 HDTV naomba msaada nifanyanyeje ili iweze kupeleka umeme wa kutosha, kwako chief mkwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na tukija kwenye multitasking kati ya Core i3 na core i5 ipi bora kuliko nyenzake?

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu parefu hapa, ila kiufupi ni hivi

-kuanzia generation ya 1 mpaka ya 7 kwenye cpu za kawaida za laptop i3 na i5 hazina tofauti sana zote ni dual core zenye thread 4, ila i5 ina advantage kidogo sababu ina turbo boost na i3 haina.

-kuanzia mwaka huu generation ya 8, i5 inakuwa kama quadcore kwenye cpu za kawaida hivyo ni best compare na i3 kwenye multitasking.

-pia kuanzia generation ya 6 zilikuwepo i5 kali zenye quadcore sema zilikuwa sio mainstream, zilipatikana laptop chache

-kwenye desktop i5 ni kali kuliko i3.

ila yoote hayo tuna assume i3 na i5 zinatoka generation moja, na ni class moja mfano zote ni za laptop. ukicompare mfano i3 ya generation ya 7 na i5 generation ya kwanza, i3 itakuwa na speed zaidi.

hivyo ni topic ndefu sana mkuu. pia ukumbuke multitasking inataka ram kubwa zaidi, pengine baina ya hizo cpu yenye ram kubwa ndio itaperform vizuri zaidi kwenye multitasking
 
Ninakushukuru sana kwa elimu hii ambayo imenipanua uelewa zaidi kutoka pale mahala nilipokuwa hadi mahala fulani hiv pazuri zaidi.
Barikiwa pia na Allah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei inaweza ikawa kama sh ngapi hub? Na zinapatikana wapi hapa dar?


Sent using Jamii Forums mobile app
hub yenyewe ipo kama hivi


zipo za aina mbili, ambayo haina umeme na ambayo ina waya wake wa umeme, wewe unatakiwa utafute ya waya wa umeme ili HDD ipate umeme na data zifike kwenye tv.

madukani zisizotumia umeme wa nje zipo nyingi around 5000 hivi, hizo za umeme sijui zitakuwa kiasi gani, ukienda mitaa ya uhuru kariakoo utazipata.

ila hakikisha tena tv yako inakubali hizo HDD,
 
Inakubali hata kwenye manual wameandika hivyo HDD inatumia ila tatizo ni hilo kuna mdau mmoja aliniambia nitumie HDD inayotumia umeme Mdogo kama transcend tatizo linakuja unawezaje kujua ya umeme Mdogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakubali hata kwenye manual wameandika hivyo HDD inatumia ila tatizo ni hilo kuna mdau mmoja aliniambia nitumie HDD inayotumia umeme Mdogo kama transcend tatizo linakuja unawezaje kujua ya umeme Mdogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
kusema tu brandname fulani ndio inafaa haisaidii kitu mkuu, kuna mamia ya hdd za seagate.

overall HDD za Hitachi series ya travelstar hasa hasa 5K100 zinatumia umeme kidogo zaidi, cheki hii list hapa

Power And Performance Per Watt - Four 2.5
 
Mkuu mi nna laptop ila ina uwezo mdogo sana games zina-run very slow kwahiyo naomba kuuliza kuwa Je, inawezekana kubadili CPU, Video Card au RAM ya Laptop?
 
Mkuu mi nna laptop ila ina uwezo mdogo sana games zina-run very slow kwahiyo naomba kuuliza kuwa Je, inawezekana kubadili CPU, Video Card au RAM ya Laptop?
-ram inawezekana kirahisi
-cpu inawezekana ila improvement si kubwa sana
-gpu haiwezekani.

specs za laptop yako ni zipi?
 
-ram inawezekana kirahisi
-cpu inawezekana ila improvement si kubwa sana
-gpu haiwezekani.

specs za laptop yako ni zipi?
Laptop yangu ina RAM 2GB, processor Intel(R) celeron(R) CPU N3060 @1.6Ghz na Video Card ni very poor Intel Hd graphics.

Ninaweza kuipgrade mpaka kiwango gani?
 
Expert samahani kama nitakua netoka nje ya mada
Laptop yangu inatoa sauti kama inataka kuwaka kipind imesha waka
Hapo tatzo n nn?
 
Laptop yangu ina RAM 2GB, processor Intel(R) celeron(R) CPU N3060 @1.6Ghz na Video Card ni very poor Intel Hd graphics.

Ninaweza kuipgrade mpaka kiwango gani?
huwezi chochote hapo mkuu labda hio ram, hizo laptop ni majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…