Jeph tephlon
Member
- Jun 19, 2016
- 87
- 16
asante kwa mchango chiefitafaa mkuu, sema unatakiwa ujue hizi gpu zipo za aina mbili,
-gpu ya kawaida ambayo inahitaji umeme toka power supply yako, hii haitafanya kazi kwenye pc yako.
-gpu ambazo ni low profile, hizi zinatumia umeme mdogo, na zinafyonza tu umeme toka kwenye motherboard, hakuna haja ya umeme toka kwenye power supply.
ukitafuta 1050ti ambayo ni low profile (watts 75) itakubali pc yako.
Sent using Jamii Forums mobile app