Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Chief nawezaje kupata hiyo gtx 750ti kuanzia gb 2 nakuendelea maana Sina utaalamu wa kuagiza online? Nahitaji kwa haraka mkuu
 
Unapokea posta, mara nyingi wanakupigia simu ukachukue mzigo, hakikisha tu kwenye adress unaandika kila kitu sawa, namba ya simu, sanduku la barua, mji uliopo etc
Yes, Kama hii maana pc yangu ni ya kulala
 
sawa mkuu nimeona pia ila. msaada wa mwingne mkuu ni kuusu saduku LA posta hiii inakuwaje labda na ninaweza kupata vipi
Sanduku la posta tumia la jirani, ndugu, jamaa au rafiki, unaweza pia kwenda posta na kutengeneza lako mwenyewe.
 
Chief nawezaje kupata hiyo gtx 750ti kuanzia gb 2 nakuendelea maana Sina utaalamu wa kuagiza online? Nahitaji kwa haraka mkuu
Ukitaka kupata kwa bei reasonable ni mpaka uagizishie online, Hapa Tz zipo ila jiandae kulipa hela ndefu laki 2 mpaka 4
 
Sanduku la posta tumia la jirani, ndugu, jamaa au rafiki, unaweza pia kwenda posta na kutengeneza lako mwenyewe.
sawa mkuu ila samahani kidogo kwa usumbufu ulinambia nichek feedback za muuzaj ila cjajua jinsi gan ya kutazama hembu msaada kidg hapa plz!
 
Hata Kama ni kuagiza sawa, shida Sina utaalamu wa kuagiza naomba msaada wako
Mkuu yupo Mwl.RCT na mr mobile wanaagizishia ukitaka.

Pia kuagizishia mwenyewe si ngumu unatafuta tu line ya Airtel ama voda unatengeneza credit card halafu unatengeneza Account Aliexpress na kujaza details muhimu kama namba ya simu na sanduku la barua, kisha unanunua na kusubiria siku 20 mpaka 40.

Ila kwa ushauri usianze na gpu, anza na kitu kidogo cha bei rahisi kama memory card, earphone etc.

Pitia na hapa kupata maelezo zaidi
Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni
 
Mkuu ipitie hii Graphic card Kama inafaa nataka niichukue
 
Au kwanini asiiweke tu na os ya android moja kwa moja. Awe anaamua tu kuboot kupitia windows au android. Si inawezekana siku hizi pc kuweka os ya android.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…