Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Ddr5 sio kigezo pekee, zipo ddr5 lowend pia kama Gt 710 ambayo pengine ni slow kama hio uliopost.

Mazingira yetu haya ya kibongo bongo unaweza tafuta gtx 750 ti ama Amd rx 550 hizi zinakula umeme kidogo na upatikanaji wake si Mgumu Aliexpress pia bei ni nafuu used.
Chief nawezaje kupata hiyo gtx 750ti kuanzia gb 2 nakuendelea maana Sina utaalamu wa kuagiza online? Nahitaji kwa haraka mkuu
 
saw mkuu Ila samahan kidogo nimejaribu kupitia Uzi wa jinsi ya kufanya manunuzi online nimeona wengi wakilalamika kuusu kuibiwa vitu vyao posta ni vitu gani muhim unaweza kuzingatia ukiwa unataka Fanya manunuzi kwa Allie express kwa mfano hii hapaView attachment 1561802
Unapokea posta, mara nyingi wanakupigia simu ukachukue mzigo, hakikisha tu kwenye adress unaandika kila kitu sawa, namba ya simu, sanduku la barua, mji uliopo etc
Yes, Kama hii maana pc yangu ni ya kulala
 
sawa mkuu nimeona pia ila. msaada wa mwingne mkuu ni kuusu saduku LA posta hiii inakuwaje labda na ninaweza kupata vipi
Sanduku la posta tumia la jirani, ndugu, jamaa au rafiki, unaweza pia kwenda posta na kutengeneza lako mwenyewe.
 
Chief nawezaje kupata hiyo gtx 750ti kuanzia gb 2 nakuendelea maana Sina utaalamu wa kuagiza online? Nahitaji kwa haraka mkuu
Ukitaka kupata kwa bei reasonable ni mpaka uagizishie online, Hapa Tz zipo ila jiandae kulipa hela ndefu laki 2 mpaka 4
 
Sanduku la posta tumia la jirani, ndugu, jamaa au rafiki, unaweza pia kwenda posta na kutengeneza lako mwenyewe.
sawa mkuu ila samahani kidogo kwa usumbufu ulinambia nichek feedback za muuzaj ila cjajua jinsi gan ya kutazama hembu msaada kidg hapa plz!
Screenshot_2020-09-11-09-22-06.jpg
 
Hata Kama ni kuagiza sawa, shida Sina utaalamu wa kuagiza naomba msaada wako
Mkuu yupo Mwl.RCT na mr mobile wanaagizishia ukitaka.

Pia kuagizishia mwenyewe si ngumu unatafuta tu line ya Airtel ama voda unatengeneza credit card halafu unatengeneza Account Aliexpress na kujaza details muhimu kama namba ya simu na sanduku la barua, kisha unanunua na kusubiria siku 20 mpaka 40.

Ila kwa ushauri usianze na gpu, anza na kitu kidogo cha bei rahisi kama memory card, earphone etc.

Pitia na hapa kupata maelezo zaidi
Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni
 
Mkuu ipitie hii Graphic card Kama inafaa nataka niichukue
 
Hii pc ina nguvu ya kutosha kurun bluestacks ama emulator nyengine za Android

1. Hakikisha una latest drivers za graphics.

2. Ram yako ni 4gb, kama una uwezo upgrade hadi 8gb itasaidia.

3. Kama una ujuzi kidogo ingia kwenye bios angalia kama kuna option ya virtualization unatakiwa uiweke on hio husaidia emulators ama vifaa vyengine vinavyotumia VM kurun faster.

Pia unaweza jaribu emulators kama LD player, Momo player ama hata Nox kwa sasa ni maarufu sana kushinda Bluestacks
Au kwanini asiiweke tu na os ya android moja kwa moja. Awe anaamua tu kuboot kupitia windows au android. Si inawezekana siku hizi pc kuweka os ya android.
 
Back
Top Bottom