korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Ivi mkuu Una office yako mahali nijee Kwa msaada zaidi.
Maana dah natamani Sanaa nikufaham
Kweli Amd device zao bei rahisi, kuna laptop fulani ya walmart niliiona dola 250 tu ya ryzen 3,Ohoo so tutegemee ushindani na kushuka bei kwa nvidia na kwa AMD. Hata hivyo amd device zao cheap sana.
Basi tu vile bongo hazishushwi sana na kuwa nyingi.
Unapata 4G? Maana hii ni muhimu, 4g kwa Halotel tegemea na eneo na kifaa inafika 100mbps na zaidi. Kama eneo la mwanzo lina 4g na la sasa halina hio ndio sababu.Msaada kuusu network ya halotel kuna sehemu Nikuwa nimepanga mwanzo nilikuwa napata Mbps 1 ila ikawa inaongezeka kila kila ikitegemea na nili upgrade ram kutoka 4 GB mpk 8 GB nikawa napata Mbps 5 pare second sasaiv nimehama pale napo kaa Jana nimejalibu kudownload movie network INA kb 500 tu natumia smart kitoch 4 je kuna uwezekano wowote wa kuendelea kupata network zaid
Yeah ni 4g kwani halotel 4g haipo powa sana mkuuUnapata 4G? Maana hii ni muhimu, 4g kwa Halotel tegemea na eneo na kifaa inafika 100mbps na zaidi. Kama eneo la mwanzo lina 4g na la sasa halina hio ndio sababu.
Pia jaribu kupima speed sometime unaweza pata speed ndogo ikiwa unadownload kitu toka kwenye server ambayo ipo slow.
Tumia fast.com kupima
Sijajua eneo lako, ila kwangu 4g halotel inakimbiza sana. Umejaribu kuingia fast.com kupima speed?Yeah ni 4g kwani halotel 4g haipo powa sana mkuu
Hapana inapima sehem ya eneo uliopo na speed yake sio au kuusu websiteSijajua eneo lako, ila kwangu 4g halotel inakimbiza sana. Umejaribu kuingia fast.com kupima speed?
Nimejaribu hapa inaa andika 1.5 Mbps cjaelewa badoHapana inapima sehem ya eneo uliopo na speed yake sio au kuusu website
1.5mbps ndogo sana, unaweza browse hapa na pale ila kudownload mafile makubwa itakuwa slow.Nimejaribu hapa inaa andika 1.5 Mbps cjaelewa bado
Nieleweshe kitu kuusu hiii fast.com1.5mbps ndogo sana, unaweza browse hapa na pale ila kudownload mafile makubwa itakuwa slow.
Ni eneo lako mkuu itakua.
Speed ya Network, namna ambavyo unaweza ku download vitu kwa haraka. Mfano yako ni 1.5mbps inamaana kila sekunde unaweza kusafirisha mb 1.5Nieleweshe kitu kuusu hiii fast.com
Kazi yake inaonyesha ukubwa wa network yako au vipi
Speed ya Network, namna ambavyo unaweza ku download vitu kwa haraka. Mfano yako ni 1.5mbps inamaana kila sekunde unaweza kusafirisha mb 1.5
Hapa Hata 4k unaweza ukastream
Duuuuh ila naona anatumia WiFi kwa network za mitandao ya kawaida hiii upate sehemu nzuri kidogoHapa Hata 4k unaweza ukastream
Mkuu naomba unieleweshe namna ya kulipia ali Express kwa airtel money mastercardmimi natumia voda inafanya, hope Airtel pia itakubali,
Umefikia stage gani? Umeshatengeneza kadi tayari ama hata kadi huna unataka toka mwanzo?Mkuu Mkuu naomba unieleweshe namna ya kulipia ali Express kwa airtel money mastercard
Mitandao ya Simu pia unapata hio speed, hasa Voda na Halotel ni kitu cha kawaida kupata 50mbps ama zaidi.Duuuuh ila naona anatumia WiFi kwa network za mitandao ya kawaida hiii upate sehemu nzuri kidogo
mkuu gen ya 4 kwa laki 4 zipo za kumwaga sana, kkoo umekosa kabisa? maduka ya wasomali pale uhuru?Kaka Chief mkwawa
Nilijaribu kufanya window shop kwanza kuhusiana na kutafuta laptop yenye uwezo
Wa
generation ya 4 lakini nikakosa nikapata ya generation ya 3 yenye uwezo wa
Model Dell 5430
Ram 4
Hard disck 500gb
Core !3 processer 2.5
Kwa budget ya 400000/= japo inaupya polia
Bado sijaifanya maamuzi ya kununua kwamba generation ya 3 itafaa?
Ushauri wako tafadhal!