korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Hyo jamaa itabidi siku aandae event pale taifa watu wakumshuhudie aiseee, maaana daaaah sio mchezo kuhifadhi material yote kichwani
Ivi mkuu Una office yako mahali nijee Kwa msaada zaidi.
Maana dah natamani Sanaa nikufaham