Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

lovely lesson
 
Mkuu hizo gen10 zinacheza bila GPU?
 
Zina gpu ila ya ndani imeunganika na processor.

Gpu yake ni nzuri sana compare na gen za nyuma.

Na gen ya 11 itakuwa na Gpu kali zaidi.
Mkuu simu yangu baadhi ya apps zinagoma access mobile data, na-fix vipi hili tatizo.
 
Chief-Mkwawa

Samahani Chief,kuna mashine nataka kuchukua kati ya hiii HP Z400 na kuna HP Z600 kwa ajili ya kazi kazi ila Bajeti yangu ninavyoiona imeegemea zaidi kwenye Z400.

Naomba nisaidie elimu kidogo ya faida na hasara za Z400 na je naweza ifanyia upgrade atleast ikajitahdi tahdi kuchuana na Z600,sijajua kuhusu z600 ila nahisi ni bora zaidi sema mimi ki uwezo nmeishia kwenye z400.

Je nikaichukue Z400 au haifai tena kwa dunia tuliyopo sasa? (kama haifai) je unanishauri nichukue mashine gani yenye uwezo uliotukuka kama workstation?

Natanguliza shukurani zangu kwako kwa misaada ya kimawazo/ushauri unayo nipatia/tupatia humu jukwaani,naomba ktk hili pia nikupe muda wakusumbua ubongo wako kunishauri kitu yenye itanifaaa..

Napokea idea na mawazo mengine utayoamua kunipatia,maana najua umeshajua nataka mashine ya aina gani na ni mtu wa matumizi kiasi gani.

Asante.
 
mkuu nimeangalia Z400 max cpu inayo support ni Xeon W3570 ambayo inapitwa nguvu hadi na pentium za kisasa, kifupi mkuu haifai kwa muono wangu, ni ya kizamani sana toka 2009. z600 pia max cpu ni xeon X5570 ambayo ni mule mule haina maana.

hizi workstation zimejaa kibao kibongo bongo wengi hawazijui na hawana time nazo, tafuta zenye xeon kuanzia gen ya pili kupanda juu, kwa hizi HP z series naona kama namba ya kati inamaanisha gen ya kisasa zaidi z410, z420, z440 etc

alternative achana nazo, maana hazina gpu ya ndani mpaka ununue dedicated gpu na pia zinakula umeme kama pasi, unaweza ukajipa stress zisizo na maana, desktop za kawaida zina nguvu ya kutosha kuliko hizi workstation za kizamani.
 
Kwa 400k - 450k PC gani ita nifaa kwa matumizi ya kawaida tu
 
sasa chief hebu nisaidie mashine gani itaweza faaa yenye uwezo wa kupokea internal HDD zisizopungua 4 na kupokea dvd rom mbili?
 
sasa chief hebu nisaidie mashine gani itaweza faaa yenye uwezo wa kupokea internal HDD zisizopungua 4 na kupokea dvd rom mbili?
Sitaki tumia External Drive wala External DVD rom

natamani vitu vyote viwe ndani ya CPU kazi yangu iwe

kujaza tu HDD lakini pia iweze kuhimili kazi kwa muda mrefu

Chief-Mkwawa
 
Sitaki tumia External Drive wala External DVD rom

natamani vitu vyote viwe ndani ya CPU kazi yangu iwe

kujaza tu HDD lakini pia iweze kuhimili kazi kwa muda mrefu

Chief-Mkwawa
mbona zile desktop kubwa (full tower) zinaweza hii kazi?

kwenye specs angalia 5.25 inch bay hio unaweka mlango wa cd na 3.5 ama 2.5 inch hio unaweka hdd ama mlango mdogo wa cd.

mfano hizi specs za dell optiplex 9020


ina 5.25 inch bay 2 ina maana unaweza weka milango miwili ya cd

pia ina 3.5 inch milango miwili hapa zinakaa hdd kubwa 2 za desktop

2.5inch nazo ni mbili, kunakaa hdd mbili ndogo za laptop.



hata ukiangalia kwa mbele chini ya mlango wa cd unaona nafasi imeekwa kama unataka kuongeza mlango wa pili wa cd
 
Hii maana yake ni lazima nichanganye HDD za 3.5 na 2.5

niweke mbili kwa mbili,sasa chief "what if" sitaki kutumia

HDD za 2.5 (zile za laptop) nataka internal nitumie 3.5 ONLY

na option za ROM ziwe mbili hivyo hivyo kama picha inavyojionyesha kwenye hiyo optilex 9020.
 
Ki theory mkuu hdd ya 2.5 na 3.5 ni sawa, sababu zinatumia connector moja, hivyo kama una space ndani ya Desktop unaweza kuweka hata ya 3.5 ila itakuwa loose,

Kama desktop inakaa mahala pamoja si mbaya ila kama inahama hama loose HDD inaweza leta madhara.

na option nyengine mkuu ni kutafuta tu case, mfano unaweza kwenda Aggrey ukatafuta tu case ya hizo server/workstation, ukahamishia desktop yako humo, ukapata sehemu ya kuweka HDD za kutosha.
 
Mkuu kwa budget hii ni sahihi kuchukua hii PC au jamaa ana bei za ajabu

Pia kwa 500k naweza pata PC ya aina gani nzuri ambayo ita run GTA V.
 

Attachments

  • Screenshot_2020-11-15-18-17-36-443_com.whatsapp.jpg
    85.7 KB · Views: 5
Mkuu kwa budget hii ni sahihi kuchukua hii PC au jamaa ana bei za ajabu

Pia kwa 500k naweza pata PC ya aina gani nzuri ambayo ita run GTA V.
Hii pc ina run gta V, sema tafuta angalau i5 same generetion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…