Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kaka mimi shida yangu ni hizi namba za katikati,mfano i7-9700HQ.Hizi namba nyekundu huwa zinamaanisha nini?na je zina umuhimu gani?Ndani, mwambie awashe laptop kisha nenda my computer ama this pc halafu right click chagua properties.
Zina maana ila hazina formula. Siwezi kukwambia exactly Intel wanaziwekaje maana wenye we wanabadilika badilika.Kaka mimi shida yangu ni hizi namba za katikati,mfano i7-9700HQ.Hizi namba nyekundu huwa zinamaanisha nini?na je zina umuhimu gani?
Shukrani kaka!Zina maana ila hazina formula. Siwezi kukwambia exactly Intel wanaziwekaje maana wenye we wanabadilika badilika.
Uhakika kwenye same series namba ya kati ikiwa kubwa basi inamaanisha ina nguvu zaidi. Mara nyingi i3 inakuwa na 0 mpaka 3, i5 ni 4 mpaka 6 na i7 ni 7 sometime 8 hii ni kwenye desktop, kwa laptop i3 ni 0 na 1, i5 ni 2 mpaka 4, i7 5 mpaka 8.
Mfano i5 9600 ina nguvu kuliko i5 9500. Na i5 9500 ina nguvu kuliko i3 9100.
Pia Mara nyingi namba ya mwisho kabla Ya herufi ikiwa sio sifuri humaanisha ina iris Gpu (gen ya 9 kushuka)
Mfano i7 ya 8th gen inaitwa i7 8550u ukiangalia mwisho hapo kuna sifuri, ila yenye iris gpu ni i7-8559U badala ya 0 wameweka 9.
Inategemea na hio Ssd, kama ni sata ssd ndio unaweza weka hdd, na kama ni m.2 ama pcie nvme Ngumu kuweka hdd.Chief nauliza, PC inayokuja na SSD inaweza pokea/kaa HDD pia?.
Asante sana chief!Ndani, mwambie awashe laptop kisha nenda my computer ama this pc halafu right click chagua properties.
Mkuu kuna vitu kadhaa nilitaka kufahamu ila nimeingia internet nikakwama,naomba nisaidie:Inategemea na hio Ssd, kama ni sata ssd ndio unaweza weka hdd, na kama ni m.2 ama pcie nvme Ngumu kuweka hdd.
1.Kwa core series sasa hivi series ya mwisho ni core i9, inaanza celeron kisha pentium kisha i3, i5, i7 mwisho i9.Mkuu kuna vitu kadhaa nilitaka kufahamu ila nimeingia internet nikakwama,naomba nisaidie:
1.Katika series ya core kama vile i3,i5,i7,etc je sasa hivi series ya mwisho ni ngapi?
2.Sasa hivi generation ya mwisho ni ngapi?
3.Kwa sasa hivi laptop yenye cores nyingi ina cores ngapi?
4.Kwa sasa hivi clock speed kubwa kabisa kwa laptop ni ngapi?
Mkuu shukrani sana,hii elimu niliyopata hapa ni zaidi ya chuo kikuuu.Ngoja niscreenshot kabisa1.Kwa core series sasa hivi series ya mwisho ni core i9, inaanza celeron kisha pentium kisha i3, i5, i7 mwisho i9.
2.generation kubwa kabisa ni ya 11 kwa intel
3. Laptop zenye core nyingi ni za zen 3 amd ryzen 5000 series, core 8 na thread 16 pamoja na Intel Gen ya 10 core 8 na thread 16.
4. Ni 5.3 ghz core i9 gen ya 10.
Hivi mkuu ni lazima laptops zote mpya zenye CPU za intel zije na GPU za intel?Inategemea na hio Ssd, kama ni sata ssd ndio unaweza weka hdd, na kama ni m.2 ama pcie nvme Ngumu kuweka hdd.
Cpu zote za intel za laptop zina Gpu ndani. Hivyo hata kama laptop inakuja na GPU separate ya Nvidia ama Amd itakuwa na GPU mbili, Hivyo wewe mwenyewe unachagua kutumia Gpu ipi.Hivi mkuu ni lazima laptops zote mpya zenye CPU za intel zije na GPU za intel?
Shukrani mkuu!Cpu zote za intel za laptop zina Gpu ndani. Hivyo hata kama laptop inakuja na GPU separate ya Nvidia ama Amd itakuwa na GPU mbili, Hivyo wewe mwenyewe unachagua kutumia Gpu ipi.
Shukrani mkuu!
1.Kati ya GPU za intel,Nvidia na Amd ni zipi ni nzuri zaidi?
2.Ni vigezo gani hutumika kuweka kwenye PC moja GPU ya intel peke yake na kwenye PC nyingine GPU ya intel pamoja na GPU ya Nvidia?
3.Naweza kubadilisha au kuongeza GPU katika PC mfano nitoe GPU ya intel niweke GPU ya Nvidia,au kwenye PC ya GPU ya intel niongeze GPU ya Nvidia?
4.Tofauti na kuplay games hizi GPU zina umuhimu mwingine katika PC?
5.Katika series ya intel GPU kubwa kuliko zote ni ngapi na katika Nvidia GPU kubwa kuliko zote ni ngapi?
Shukrani kaka!1. Hizi Gpu zina series mfano kwa Nvidia utakuta 1030, 1050, 1060, 1070, 2060 etc same kwa Amd na intel
Gpu za intel ni low end zinapambana tu na GPU za Nvidia ama Amd za bei rahisi.
Kuhusu Amd vs Nvidia ni kama wanafanana Sema Nvidia Ana drivers nzuri zaidi most of time utakuta Gpu zake zinatumika kwenye gaming machine wakati Amd yeye Gpu zake zina nguvu kwa price point fulani na GPU zake Mara nyingi hutumika kwenye Uchimbaji crypto currency.
2.mara nyingi laptop zinazowekwa Gpu za Nvidia ama Amd zinakuwa laptop high-end za bei ghali kama vile gaming laptop ama laptop za proffesional mbalimbali.
3.huwezi kutoa Gpu ya Intel maana imeungana na cpu na pia huwezi toa Ya Nvidia maana umegundishwa kwenye motherboard. Na vile vile huwezi kuzi upgrade. Ipo option ya nje kama laptop Ina port ya pcie ama thunderbolt unachomeka Gpu ya nje. Ila case tu ya hio Gpu inaweza Fika laki 4 pamoja na GPU itaku cost.
4.kuna umuhimu mwingi tu, kuna hizi cad softwares kama Autocad, kufanya video editing, browser siku hizi zinatumia Gpu,
Kuangalia video za resolution kubwa, ku drive monitor ama display yenye resolution kubwa etc
5. Gpu kubwa kabisa ya Intel inaitwa Xe na inapatikana kwenye gen yao mpya ya 11, kwa Nvidia Gpu kubwa ni Rtx 3080.
I wish siku moja nikutane na Chief-Mkwawa walau nimtambue tu hata kwa sura yake.1. Hizi Gpu zina series mfano kwa Nvidia utakuta 1030, 1050, 1060, 1070, 2060 etc same kwa Amd na intel
Gpu za intel ni low end zinapambana tu na GPU za Nvidia ama Amd za bei rahisi.
Kuhusu Amd vs Nvidia ni kama wanafanana Sema Nvidia Ana drivers nzuri zaidi most of time utakuta Gpu zake zinatumika kwenye gaming machine wakati Amd yeye Gpu zake zina nguvu kwa price point fulani na GPU zake Mara nyingi hutumika kwenye Uchimbaji crypto currency.
2.mara nyingi laptop zinazowekwa Gpu za Nvidia ama Amd zinakuwa laptop high-end za bei ghali kama vile gaming laptop ama laptop za proffesional mbalimbali.
3.huwezi kutoa Gpu ya Intel maana imeungana na cpu na pia huwezi toa Ya Nvidia maana umegundishwa kwenye motherboard. Na vile vile huwezi kuzi upgrade. Ipo option ya nje kama laptop Ina port ya pcie ama thunderbolt unachomeka Gpu ya nje. Ila case tu ya hio Gpu inaweza Fika laki 4 pamoja na GPU itaku cost.
4.kuna umuhimu mwingi tu, kuna hizi cad softwares kama Autocad, kufanya video editing, browser siku hizi zinatumia Gpu,
Kuangalia video za resolution kubwa, ku drive monitor ama display yenye resolution kubwa etc
5. Gpu kubwa kabisa ya Intel inaitwa Xe na inapatikana kwenye gen yao mpya ya 11, kwa Nvidia Gpu kubwa ni Rtx 3080.
Kaka natumia mtandao wa halotel na simu yangu ni Xiaomi Mi A2 lite lakini mtandao unasoma 3G,kuna setups naweza kufanya ili nipate 4G?Sijajua eneo lako, ila kwangu 4g halotel inakimbiza sana. Umejaribu kuingia fast.com kupima speed?
Kaka natumia mtandao wa halotel na simu yangu ni Xiaomi Mi A2 lite lakini mtandao unasoma 3G,kuna setups naweza kufanya ili nipate 4G?
Shukrani mkuu!View attachment 1678398
A2 lite global version haina band 7 ambayo huhitajika kwa 4g ya halotel, Chinese version pekee ndio itashika 4g ya halotel.
Tigo, voda, Airtel na Ttcl zitakubali 4g.
Rtx 3090!!1. Hizi Gpu zina series mfano kwa Nvidia utakuta 1030, 1050, 1060, 1070, 2060 etc same kwa Amd na intel
Gpu za intel ni low end zinapambana tu na GPU za Nvidia ama Amd za bei rahisi.
Kuhusu Amd vs Nvidia ni kama wanafanana Sema Nvidia Ana drivers nzuri zaidi most of time utakuta Gpu zake zinatumika kwenye gaming machine wakati Amd yeye Gpu zake zina nguvu kwa price point fulani na GPU zake Mara nyingi hutumika kwenye Uchimbaji crypto currency.
2.mara nyingi laptop zinazowekwa Gpu za Nvidia ama Amd zinakuwa laptop high-end za bei ghali kama vile gaming laptop ama laptop za proffesional mbalimbali.
3.huwezi kutoa Gpu ya Intel maana imeungana na cpu na pia huwezi toa Ya Nvidia maana umegundishwa kwenye motherboard. Na vile vile huwezi kuzi upgrade. Ipo option ya nje kama laptop Ina port ya pcie ama thunderbolt unachomeka Gpu ya nje. Ila case tu ya hio Gpu inaweza Fika laki 4 pamoja na GPU itaku cost.
4.kuna umuhimu mwingi tu, kuna hizi cad softwares kama Autocad, kufanya video editing, browser siku hizi zinatumia Gpu,
Kuangalia video za resolution kubwa, ku drive monitor ama display yenye resolution kubwa etc
5. Gpu kubwa kabisa ya Intel inaitwa Xe na inapatikana kwenye gen yao mpya ya 11, kwa Nvidia Gpu kubwa ni Rtx 3080.
Naomba msaada wa huyo jamaa Mkuu kama hautojali natafuta sana PC.Nikifika home nitakuangalizia namba ya muuzaji alieniuzia ya kwangu.