Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Wakuu kuna ambaye alishatumia hizi PC za Huawei, CHUWI, Xiaomi au brand nyingine za Kichina ambazo wengi wao ni watengeneza simu.

Naona ziko very compact na screen zake nzuri.
 
Zoom kuna vitu vikali sana!!Hiyo ya kwanza ni TZS 1.3M na hiyo ya tatu ni TZS 1.6M na zote ni mpya. Chief-Mkwawa hizi bei zake unazionaje?
Img-1610734006677.jpg

Img-1610734068030.jpg
Img-1610734037236.jpg
 
Anaeuza PC kuna jamaa hapo juu ulisema ulimuunganisha nae uliponunua wewe.
0712498180
andrea

jamaa ana processor, desktop na vitu vingi ambavyo ni rare,

pia nenda kaale opposite na kanisa la KKKT wanakuwa na desktop

discountkubwa pia opposite na kituo cha police msimbazi, sema hawa naona wamepunguza siku hizi desktop.
 
Laptop atakuwa nazo?
 
Kama budget inafika 1m+ bora utafute tu gen ya 11, hio Xe graphics huna haja ya dedicated Gpu, utacheza games na kufanya Kazi nzito nzito bila tabu.
Mkuu kuna mambo kadhaa nilikuwa na kiu ya kuyajua:

1.Kampuni ya Intel wanapo-upgrade CPU zao kutoka core moja hadi nyingine,mfano kutoka i3 generation ya saba hadi i5 generation hiyohiyo ya saba ni vitu gani huwa wanaboresha?(generation zimebakia sawa kote)

2.Wanapo-upgrade CPU zao kutoka generation moja hadi nyingine,mfano kutoka i3 generation ya saba kwenda i3 generation ya nane ni vitu gani huwa wanaboresha?

3.Wanapo-upgrade SKU namba mfano kutoka i5-7200u hadi i5-7400u ni vitu gani ambavyo huwa wanaboresha?
 
0712498180
andrea

jamaa ana processor, desktop na vitu vingi ambavyo ni rare,

pia nenda kaale opposite na kanisa la KKKT wanakuwa na desktop

discountkubwa pia opposite na kituo cha police msimbazi, sema hawa naona wamepunguza siku hizi desktop.
IMG-20210116-WA0018.jpg
IMG-20210116-WA0015.jpg

Hii PC kwa 650k vipi mkuu ni HP PAVILION core i7.
 
Mkuu kuna mambo kadhaa nilikuwa na kiu ya kuyajua:

1.Kampuni ya Intel wanapo-upgrade CPU zao kutoka core moja hadi nyingine,mfano kutoka i3 generation ya saba hadi i5 generation hiyohiyo ya saba ni vitu gani huwa wanaboresha?(generation zimebakia sawa kote)

2.Wanapo-upgrade CPU zao kutoka generation moja hadi nyingine,mfano kutoka i3 generation ya saba kwenda i3 generation ya nane ni vitu gani huwa wanaboresha?

3.Wanapo-upgrade SKU namba mfano kutoka i5-7200u hadi i5-7400u ni vitu gani ambavyo huwa wanaboresha?
1. Kutoka i3 mpaka i5 kwenye desktop Mara nyingi core zinaongezeka, mfano unakuta i3 ina core 4 na i5 ina core 6, kwenye laptop ni Hivyo Hivyo Sema imeanza hivi karibuni kuanzia gen ya 8. Gen ya 2 mpaka 7 utofauti wa baina ya i3 na i5 ilikuwa ni turbo clock tu, i3 haikua na turbo.

2. Gen kwa gen kunakuwa na kitu kinaitwa Architecture ya hio generation, mfano gen ya 11 inaitwa Tiger lake na sifa zake ni kwamba ina Gpu zenye nguvu za Xe, ina perfomance kubwa, Artifical intelligence etc Hivyo vitu vyote hivi utavikuta kwenye i3 mpya ila ya zamani huvipati.

3. Utofauti baina ya i5 kwenye same generation Mara nyingi ni clock speed tu, unakuta moja ina 2.5ghz nyengine Ina 2.6ghz etc.
 
Shukrani sana mkuu!🙏🙏🙏
 
Gen ya ngapi mkuu, cheki Jina LA i7

Cpu ya ukweli mkuu, Sema usitegemee ikae na chaji na itapata joto.

Vipi Gpu?

Search dxdiag kisha angalia kama ina dedicated Gpu ama ni Hd4600 tu?
Siko nayo hpa ila jamaa ananinitumia vip kwa hyo bei ya 650k au nimpunguze,na je hizi Pc hazina shida yeyote maana niliskia jamaa akisema zinaungua sjui

Na hiyo kupata moto hata kama nafanya kazi za kawaida tu au mpaka nikiwa nafanya heavy duty?

Charge kaniambia ni 4hrs.
 
Hivi kaka kwenye hii PC hiyo generation ya 4 haina shida?
Gen ya 4 ni ya kizamani kidogo ila hii laptop alietuma jamaa ni special case, yenyewe ni variety ya 45W ambayo inatumia umeme mwingi na kutoa perfomance kubwa.

Mfano hii ni benchmark ya hii i7
Screenshot_20210116-113103.png

Na hii ni i7 gen ya 7 mainstream
Screenshot_20210116-113027.png

Na hii i7 gen ya 8
Screenshot_20210116-113311.png

Hivyo unaona kwenye perfomance hii i7 gen ya 4 ni almost perfomance ya gen ya 8, imeipita mbali gen ya 7.

Na sababu inatumia umeme mwingi pia inaweza ku sustain muda mrefu kwenye perfomance kubwa bila kupungua speed, mfano una render video.
 
Siko nayo hpa ila jamaa ananinitumia vip kwa hyo bei ya 650k au nimpunguze,na je hizi Pc hazina shida yeyote maana niliskia jamaa akisema zinaungua sjui

Na hiyo kupata moto hata kama nafanya kazi za kawaida tu au mpaka nikiwa nafanya heavy duty?

Charge kaniambia ni 4hrs.
Joto mkuu ni lazima upate la kutosha, hii haikuwa laptop ya user wa kawaida Bali kwa ajili ya power user na proffesional.

Kama haina Gpu bei ni ghali, ila kama ina Nvidia hata ikiwa low end bei si mbaya.

Na pia joto linawezekana sababu thermal paste imekauka juu ya cpu, ni laptop ya zamani, unaweza I fungua na kupakaa upya.
 
Back
Top Bottom