T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kuna laptop ya rtx 3090? Ninavyofahamu kwa laptop mwisho 3080Rtx 3090!!
Ni jamaa wa processor? Nimesahau hii commentNaomba msaada wa huyo jamaa Mkuu kama hautojali natafuta sana PC.
Nakumbuka kama huyu mdau alikuwa nayoWakuu kuna ambaye alishatumia hizi PC za Huawei, CHUWI, Xiaomi au brand nyingine za Kichina ambazo wengi wao ni watengeneza simu.
Naona ziko very compact na screen zake nzuri.
Anaeuza PC kuna jamaa hapo juu ulisema ulimuunganisha nae uliponunua wewe.Ni jamaa wa processor? Nimesahau hii comment
Kama budget inafika 1m+ bora utafute tu gen ya 11, hio Xe graphics huna haja ya dedicated Gpu, utacheza games na kufanya Kazi nzito nzito bila tabu.Zoom kuna vitu vikali sana!!Hiyo ya kwanza ni TZS 1.3M na hiyo ya tatu ni TZS 1.6M na zote ni mpya. Chief-Mkwawa hizi bei zake unazionaje?
View attachment 1678454
View attachment 1678453View attachment 1678456
0712498180Anaeuza PC kuna jamaa hapo juu ulisema ulimuunganisha nae uliponunua wewe.
Laptop atakuwa nazo?0712498180
andrea
jamaa ana processor, desktop na vitu vingi ambavyo ni rare,
pia nenda kaale opposite na kanisa la KKKT wanakuwa na desktop
discountkubwa pia opposite na kituo cha police msimbazi, sema hawa naona wamepunguza siku hizi desktop.
Mkuu kuna mambo kadhaa nilikuwa na kiu ya kuyajua:Kama budget inafika 1m+ bora utafute tu gen ya 11, hio Xe graphics huna haja ya dedicated Gpu, utacheza games na kufanya Kazi nzito nzito bila tabu.
0712498180
andrea
jamaa ana processor, desktop na vitu vingi ambavyo ni rare,
pia nenda kaale opposite na kanisa la KKKT wanakuwa na desktop
discountkubwa pia opposite na kituo cha police msimbazi, sema hawa naona wamepunguza siku hizi desktop.
Gen ya ngapi mkuu, cheki Jina LA i7
1. Kutoka i3 mpaka i5 kwenye desktop Mara nyingi core zinaongezeka, mfano unakuta i3 ina core 4 na i5 ina core 6, kwenye laptop ni Hivyo Hivyo Sema imeanza hivi karibuni kuanzia gen ya 8. Gen ya 2 mpaka 7 utofauti wa baina ya i3 na i5 ilikuwa ni turbo clock tu, i3 haikua na turbo.Mkuu kuna mambo kadhaa nilikuwa na kiu ya kuyajua:
1.Kampuni ya Intel wanapo-upgrade CPU zao kutoka core moja hadi nyingine,mfano kutoka i3 generation ya saba hadi i5 generation hiyohiyo ya saba ni vitu gani huwa wanaboresha?(generation zimebakia sawa kote)
2.Wanapo-upgrade CPU zao kutoka generation moja hadi nyingine,mfano kutoka i3 generation ya saba kwenda i3 generation ya nane ni vitu gani huwa wanaboresha?
3.Wanapo-upgrade SKU namba mfano kutoka i5-7200u hadi i5-7400u ni vitu gani ambavyo huwa wanaboresha?
Shukrani sana mkuu!πππ1. Kutoka i3 mpaka i5 kwenye desktop Mara nyingi core zinaongezeka, mfano unakuta i3 ina core 4 na i5 ina core 6, kwenye laptop ni Hivyo Hivyo Sema imeanza hivi karibuni kuanzia gen ya 8. Gen ya 2 mpaka 7 utofauti wa baina ya i3 na i5 ilikuwa ni turbo clock tu, i3 haikua na turbo.
2. Gen kwa gen kunakuwa na kitu kinaitwa Architecture ya hio generation, mfano gen ya 11 inaitwa Tiger lake na sifa zake ni kwamba ina Gpu zenye nguvu za Xe, ina perfomance kubwa, Artifical intelligence etc Hivyo vitu vyote hivi utavikuta kwenye i3 mpya ila ya zamani huvipati.
3. Utofauti baina ya i5 kwenye same generation Mara nyingi ni clock speed tu, unakuta moja ina 2.5ghz nyengine Ina 2.6ghz etc.
Gen ya ngapi mkuu, cheki Jina LA i7
Cpu ya ukweli mkuu, Sema usitegemee ikae na chaji na itapata joto.
Hivi kaka kwenye hii PC hiyo generation ya 4 haina shida?Cpu ya ukweli mkuu, Sema usitegemee ikae na chaji na itapata joto.
Vipi Gpu?
Search dxdiag kisha angalia kama ina dedicated Gpu ama ni Hd4600 tu?
Gen ya ngapi mkuu, cheki Jina LA i7
Siko nayo hpa ila jamaa ananinitumia vip kwa hyo bei ya 650k au nimpunguze,na je hizi Pc hazina shida yeyote maana niliskia jamaa akisema zinaungua sjuiCpu ya ukweli mkuu, Sema usitegemee ikae na chaji na itapata joto.
Vipi Gpu?
Search dxdiag kisha angalia kama ina dedicated Gpu ama ni Hd4600 tu?
Gen ya 4 ni ya kizamani kidogo ila hii laptop alietuma jamaa ni special case, yenyewe ni variety ya 45W ambayo inatumia umeme mwingi na kutoa perfomance kubwa.Hivi kaka kwenye hii PC hiyo generation ya 4 haina shida?
Joto mkuu ni lazima upate la kutosha, hii haikuwa laptop ya user wa kawaida Bali kwa ajili ya power user na proffesional.Siko nayo hpa ila jamaa ananinitumia vip kwa hyo bei ya 650k au nimpunguze,na je hizi Pc hazina shida yeyote maana niliskia jamaa akisema zinaungua sjui
Na hiyo kupata moto hata kama nafanya kazi za kawaida tu au mpaka nikiwa nafanya heavy duty?
Charge kaniambia ni 4hrs.