Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Gen ya 10 na 11 ni graphics

G7 graphics kali zaidi na G1 graphics ndogo zaidi.

Sema hio G1 still ni nzuri kuliko gen zote za nyuma, kama i7 gen ya 9.
Hivi kaka kwa mfano mtu akisema kuwa PC yake inatumia umeme kiasi cha15w tu,hii huwa inamaanisha nini?Inamaanisha kuwa hiyo PC inahitaji umeme wa 15w kwa dakika?lisaa?siku?Ni nini hasa?
 
Hivi kaka kwa mfano mtu akisema kuwa PC yake inatumia umeme kiasi cha15w tu,hii huwa inamaanisha nini?Inamaanisha kuwa hiyo PC inahitaji umeme wa 15w kwa dakika?lisaa?siku?Ni nini hasa?
Kwa saa moja, unit moja ya Tanesco ni 1000w,

Pia battery za laptop zinapimwa Hivyo Hivyo kwa watts na sio Mah kama simu.

Na wakisema 15w wa Namaanisha ikiwa katika base clock, mfano kama ni i5 ya 2.5ghz basi iki operate kwa hio ghz ndio inakula Hivyo. Most of time laptop inafanya light task Hivyo haifiki huo ulaji umeme.
 
Na kuna hizi hapa

Campared to hiyo

Pia je Hyo driver ni hardware mkuu au Software maana hapo umesema haijawa installed bado unaniacha njia panda boss.
 
Na kuna hizi hapa

Campared to hiyo
View attachment 1678965
View attachment 1678966

Pia je Hyo driver ni hardware mkuu au Software maana hapo umesema haijawa installed bado unaniacha njia panda boss.
Driver ni software inayoifanya hardware ifanye kazi.

Kwa hizo ulizotuma hio i3 gen ya 7 sio mbaya, japo cpu yake sio nzuri kama hio i7 ya mwanzo ila Gpu ni nzuri, utacheza games nyepesi na kurun 4k videos bila tatizo.

Amd zisizo ryzen achana nazo.
 
Daaah!Kumbe huwa zinakula umeme kidogo sana.Kwa PC ya 15w maana yake inakula unit moja na nusu ya TANESCO kwa masaa mia moja!
 
Driver ni software inayoifanya hardware ifanye kazi.

Kwa hizo ulizotuma hio i3 gen ya 7 sio mbaya, japo cpu yake sio nzuri kama hio i7 ya mwanzo ila Gpu ni nzuri, utacheza games nyepesi na kurun 4k videos bila tatizo.

Amd zisizo ryzen achana nazo.
Ko nikichukua hii nauwezo wa kuinstall drivers si ndio kuna hyo option?
 
Lastly mkuu ili nifanye maamuzi

Ameniambia ni ina INTEL GRAPHIC
Je;-
1.nitaweza kufanya nini na nini katika hii laptop?

2.Je nitaweza kuweka Graphic kama AMD,NYVIDIA?

3.Je ni kiasi gani Mkuu?

4.Je naweza play GTA V na games nyingine heavy?

Jamaa kasema bei ya mwisho ni 550k ukinipa hayo majibu ili nione kama nampa au nimteme.
 
Lastly mkuu ili nifanye maamuzi

1.nitaweza kufanya nini na nini katika hii laptop?
2.Je nitaweza kuweka Graphic?

3.Je ni kiasi gani Mkuu?

Jamaa kasema bei ya mwisho ni 550k ukinipa hayo majibu ili nione kama nampa au nimteme.
2. Hutaweza weka graphics, utaeka tu driver kupata ile Gpu ya Ndani.

3. Mimi kwa muono wangu not worth it zaidi ya laki 5.

1. Na sababu matumizi hujayajua kuna uwezekano mkubwa hui hitaji na ile i3 ikawa best choice kwako.
-ni nzuri kwa video editing, sababu ina core nyingi, pia 3d, animations na software nyengine za graphics zenye support ya Intel Quicksync
-emulators mbalimbali za games kama Nintendo wii, ps2, psp etc
-gaming ambazo sio graphics intensive
-heavy software mbalimbali kama za cad
-browsing pia itakuwa nzuri, etc
 
Hyo i3 jamaa anataka 750k
 
Je katika hiyo i7 siwezi yafanya hayo

1.Heavy apps
2.Gaming kama GTA V na nyingine heavy,
3.Browsing n.k
 
Hyo i3 jamaa anataka 750k
Dah, Tamaa hizi, ni mpya?

Used i3 gen 6/7 ni around laki 4 mpaka 5 hivi ukitafuta vizuri unapata

Ikifika laki 6 ni i5/i7
 
Je katika hiyo i7 siwezi yafanya hayo

1.Heavy apps
2.Gaming kama GTA V na nyingine heavy,
3.Browsing n.k
Unaweza Sema gta V litarun quality ndogo sana 480p ama 600p sikumbuki vizuri,
 
Kwanza driver ipo Sema tu haijaekwa

Na laptop bila driver ya graphics haifanyi kitu chochote kinachotaka graphics. Mfano video za full HD hazitacheza, games hutacheza, video huta edit etc.
Hivi kaka graphics ni hardware?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…