Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Sawa mkuu me bado na maswali kidg ivi nawezaje kuapdate bios na inakuwaje PC ukifanya update ya bios nin kinabadirika haswa
bios inadili na input na output za pc. mfano wa input hizo ni kama cpu, ram, hdd etc

unapo update bios inamaana inaongeza compability ya pc yako.

mfano gen ya 4 na ya 5 cpu zake zinaingiliana, cpu yako wewe ni gen ya 4, ina maana wakati unainunua bios zako zilikuwa programmed kuingia cpu za gen ya 4, ilivyotoka gen ya 5 mtengenezaji wa motherboard atakuwa ametoa updates ya bios ili kuongeza hio compability.

ku update unaenda website ya manufacture wa pc utakuta file la ku updetia, fuata maelekezo.
 
Ila pia nasikia inaweza kuharibu mashine hapa inakuwaje kuwaje kama utakosea au
 
mkuu nina hii yenye hizi specification hapo chini, nilikuwa nataka kuiwekea dedicated graphics sasa swali ni jee inawezekana na kama ni ndio naomba gharama za graphics na kwa dodoma naweza pata au ndio mpaka niagize Dar.
 

Attachments

  • hp.png
    16 KB · Views: 6
mkuu nina hii yenye hizi specification hapo chini, nilikuwa nataka kuiwekea dedicated graphics sasa swali ni jee inawezekana na kama ni ndio naomba gharama za graphics na kwa dodoma naweza pata au ndio mpaka niagize Dar.
Hii ni laptop huwezi weka dedicated graphics.

Angalia kwenye ports hakuna ki port kidogo chenye alama ya radi?
 
Mkuu Chief-Mkwawa naomba saidia hapa Nina hii Dell Optiplex 390 MT Desktop computer ninahitaji ku-upgrade graphics card na Nina hii card ya AMD Radeon 5250 nafahamu ni card ya zamani ila nadhani itasaidia kwa matumizi ukilinganisha na inbuilt intel graphics ya hii machine
Tatizo langu: Nikiweka hii card kwa PC na nikiconnect HDMI cable kwenye HDMI port ya card! Nikiwasha machine inawaka kwa sekunde mbili bila kudisplay chochote kwa screen then inazima.
Ninachohisi kwa kupitia kwa comments zako kwenye uzi huu ni kuwa PSU inaweza kuwa ndogo ( 265W) haiwezi kuiaccomodate hii card!!??
Specifications za PC?
Intel(R) Core(TM) i5-2500 CPU @ 3.30GHz
RAM 8 GB
Windows version: Microsoft Windows 10 (10.0) Professional 64-bit (Build 19042)
Graphics Card: AMD Radeon hd5250 dedicated vram 2GB
Monitor
Model DELL ST2210 (Dell Computer)
ID DELA05A
Serial T502R997141U
Manufacturing Date Week 37, Year 2009
Size 21.7 inches
Max Resolution 1920 x 1080 @ 60 Hz
Horizontal Freq. Range 30-83 kHz
Vertical Freq. Range 50-76 Hz
Max Pixel Clock 170 MHz
Gamma Factor 2.2
 
Power Supply Unit ina 265W
 
Ulimaanisha HD 5450? Kama ni hii mkuu achana nayo haina issue yoyote, imepitwa nguvu hadi na gpu ya ndani ya i5 2500.
 
Ulimaanisha HD 5450? Kama ni hii mkuu achana nayo haina issue yoyote, imepitwa nguvu hadi na gpu ya ndani ya i5 2500.
Kweli eh basi nilivoona ina vRAM ya 2GB nikahisi inaweza kuwa afadhali kuliko hii integrated GPU..Basi bado nahitaji shule ya hizi card
 
Shukran sana wakuu kupitia dvi nimeweza pata picha kutoka.kwenye graphics card japo mwanzo ilikuwa nikiwasha inawaka mpk kwenye window then inakata so nimechomoa starblaizer.nimeconect direct imekubal
 
Kweli eh basi nilivoona ina vRAM ya 2GB nikahisi inaweza kuwa afadhali kuliko hii integrated GPU..Basi bado nahitaji shule ya hizi card
vram ni term moja misleading sana mkuu. mfano hd 5450 inakuja na ddr2 ram, ipo slow kushinda ram za computer yako za ddr3.

tunakuwa na vram sababu ram za computer zipo slow na zinatumika na mambo mengi, gpu yenye ram ambazo ni slow kushinda za computer haitakusaidia kitu.

pia nimecheki 5450 inakuja na 512mb vram, hebu cheki vizuri jina la hio gpu.
 
Hapa natest hiii hitman absolution...ultra iko POWa ila na shida na game za PC wazee[emoji120][emoji120]
 
Mkuu ivi computer ikiwa inawaka inafika kwenye window loading inakata display shida inaweza kuwa nin au bios au..?
 
Alafu kingne mkuu hiz bios INA mb 6 tu[emoji848][emoji848] na mbona cjaona latest hapa IPO hii ya mwaka 2013
 
Ila ajabu nikiwasha inafikia kwenye window inakata ila nikiwa kama hapa haikati
 
Nimepata solution wakuu nikipiga drive za graphics card ndio inakata Niki unstail inakubal msaada hapa
 
used ni kubet mkuu,

ila kama unanunua abroad weka hela yako pembeni muda wowote, kila siku angalia slickdeals ama woot ama site zifananiazo, unaweza pata laptop kali kwa $300 kushuka.
Hao slickdeals ni genuine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…