Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #1,581
bios inadili na input na output za pc. mfano wa input hizo ni kama cpu, ram, hdd etcSawa mkuu me bado na maswali kidg ivi nawezaje kuapdate bios na inakuwaje PC ukifanya update ya bios nin kinabadirika haswa
unapo update bios inamaana inaongeza compability ya pc yako.
mfano gen ya 4 na ya 5 cpu zake zinaingiliana, cpu yako wewe ni gen ya 4, ina maana wakati unainunua bios zako zilikuwa programmed kuingia cpu za gen ya 4, ilivyotoka gen ya 5 mtengenezaji wa motherboard atakuwa ametoa updates ya bios ili kuongeza hio compability.
ku update unaenda website ya manufacture wa pc utakuta file la ku updetia, fuata maelekezo.