Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

HD 5450 inakula watts 19 tu, hata ungekuwa na psu ya 180w inasukuma vizuri tu.

Hakikisha umeweka drivers zako vizuri.
Mkuu nimejaribu kila driver Ila bado inakataa yhn nikipiga driver tu inakataa kudisplay Ila ukitumia hdmi inaonesha Ila dvi inakataa hapa nin shida mkuu
 
Mkuu nimejaribu kila driver Ila bado inakataa yhn nikipiga driver tu inakataa kudisplay Ila ukitumia hdmi inaonesha Ila dvi inakataa hapa nin shida mkuu
Dvi ya monitor nayo ni Dvi D? Umejaribu kuikagua?
 
Mkuu Chief-Mkwawa asante sana kwa elimu unayoitoa mkuu. Mimi naomba msaada wa mawazo. Nahitaji laptop mpya nzuri itakayoweza himili kazi nyingi. Budget yangu ni btw 2M - 2.5M (nitavutiwa zaidi kama itakua super slim)
Nawasilisha.
 
Hizi superslim mkuu zinaitwa ultra book kwenye laptop.

Sababu budget yako ni kubwa mambo muhimu ya kuangalia ni kama
-iwe latest generation ya 11 core i7 ama i5, ama hizi Amd ryzen mpya 5000 series japo ni adimu sana kuzipata.
-ssd ya ukweli kama za Nvme
-wifi mpya ya kisasa kama wifi 6
-thunderbolt port etc.

Sijajua tu kama Una Angalia premium ama unataka pia ihimili mikiki mikiki.

Ila Kikawaida huwezi kwenda wrong kwa hizi series
-Asus Angalia ZenBook series
-dell Angalia xps series
-Hp Angalia Envy ama spectre
-Lenovo Angalia thinkpad X1
-Acer swift etc

Cha muhimu iwe latest gen ya Amd ama Intel.
 
Shukrani mkuu. Nmekutana na spectre nmeielewa zaidi. Gen 10 corei7 si njema tu?
 
Iv mku kwa processor ya i5 4gen naweza pata kwa budget gan maana iyo i7 naona budget zangu bado ziko low sana mkuu so ninge anza hata iyo ingekuwa njema kidg
 
Iv mku kwa processor ya i5 4gen naweza pata kwa budget gan maana iyo i7 naona budget zangu bado ziko low sana mkuu so ninge anza hata iyo ingekuwa njema kidg
Hakuna bei maalum unaweza pata ghali kuliko i7. Kikawaida bei za i5 ni around laki 3 mpaka 5 na i7 ni laki 6 kupanda, hizo ninazokuelekeza ni magumashi tu watu wanachomoa kwenye desktop.
 
Hii ni laptop huwezi weka dedicated graphics.

Angalia kwenye ports hakuna ki port kidogo chenye alama ya radi?
sawa mkuu unajua mpaka nikauliza kunaaptop za aina hii nimewahi ziona mtandaoni zina dedicated graphics sasa nikajua labda huwa wanaweka. Ila vipi kuhusu zilizo na dedicated huwa zinwekewa kutoka industry moja kwaoja

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Ndio zinawekwa moja kwa moja kiwandani, zinchomelewa kabisa.

Hio type C pia hutumia kuweka Graphics za nje ila zinakuwa na Bei sana, inabidi iwe type C ambayo ni USB 4 ndio ina built in thunderbolt 3.
 
Inategemea na hio dedicated, zipo za kila aina ambazo zipo slow za bei rahisi mapaka za mamilioni ya hela.
Mkuu ivi in kipi haswa chakufanya ukibadili processor kabla ya kuanza matumiz nayo au unatumia t ukishabadili?
 
Mkuu ivi in kipi haswa chakufanya ukibadili processor kabla ya kuanza matumiz nayo au unatumia t ukishabadili?
Unatumia tu ukishabadili,

Sema sometime ukiwa na Cpu mpya kubwa cooler ya zamani inaweza ikazidiwa na kupiga kelele, hivyo unatakiwa uibadili.
 
Unatumia tu ukishabadili,

Sema sometime ukiwa na Cpu mpya kubwa cooler ya zamani inaweza ikazidiwa na kupiga kelele, hivyo unatakiwa uibadili.
Mkuu nimepata hii..VP unavyo ona itafaa coz nimekuta hii moja tu zingne hamna 4gen adimu sana core i5 4570
View attachment 1727080
 
Attachments

  • 20210316_135125_mfnr.jpg
    39.9 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…