Hizi superslim mkuu zinaitwa ultra book kwenye laptop.
Sababu budget yako ni kubwa mambo muhimu ya kuangalia ni kama
-iwe latest generation ya 11 core i7 ama i5, ama hizi Amd ryzen mpya 5000 series japo ni adimu sana kuzipata.
-ssd ya ukweli kama za Nvme
-wifi mpya ya kisasa kama wifi 6
-thunderbolt port etc.
Sijajua tu kama Una Angalia premium ama unataka pia ihimili mikiki mikiki.
Ila Kikawaida huwezi kwenda wrong kwa hizi series
-Asus Angalia ZenBook series
-dell Angalia xps series
-Hp Angalia Envy ama spectre
-Lenovo Angalia thinkpad X1
-Acer swift etc
Cha muhimu iwe latest gen ya Amd ama Intel.