Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

sio mimi kaka huyo,

dah nilikuwa sijaingia michuzi siku nyingi dah hii ni too much

juu kuna matangazo ya banner 17
pembeni kuna vitangazo 14

tona yote yameekwa kwa njia ambazo sio za kiprofessional hadi adblock inashindwa kuyatoa
Baada ya jamaa kupost hiyo link nkaenda huko michuzi, dah! kwa matangazo yale sirudi tena. Watu wanalizika kweli kweli..
by the way umetoa elimu nzuri ahsante sana
 
mkuu vipi kuhusu intel(R) celeron(R) cpu N3050 @1.6 ghz 1.6 ghz
hamna kitu hapo mkuu, kwa kifupi cpu zote zinazoanziwa na N mwanzon zina core za Atom ambazo hazina nguvu kabisa. uzuri wake zinakula umeme kidogo watts 2 hadi 10 na zinakaa sana na charge ila perfomance yake ni ovyo
 
ikiwa imewashwa nenda sehemu ya search andika neno dxdiag kitakuja hiko kiprogram, click itakuonesha cpu, gpu, audio, input etc

kama haijawashwa ni kuangalia either sticker pale mbele au kuangalia kwenye kitako model number na kuigoogle.

ila tu kuwa makini gpu haiangaliwi kwa vram, ikiwa na ram kubwa haimaanishi kwamba ndio nzuri kama watu wengi walivyozoea
Mkuu kuna moja katika kutaka kununua pc.nimekutana na hii kwa 450k kama nilivokuomba ushuri vp hapa
IMG-20160911-WA0032.jpg
 
mkuu sio mbaya sana ila games za kisasa kama gta v sahau. hio ni 3rd generation. tafuta kuanzia 4th gen gpu kama hd4600 utacheza vizuri games kubwa kubwa kwa low setting
Hyo hd 4600 naiangalia sehemu gani mkuu?
 
Chief kwa bajeti ya 700k naweza kupata pc nzuri yenye nguvu, performance kubwa, kasi ya ajabu na inayocheza games kubwa kama gta 5 kwa resolution kubwa bila shida??

Nitashukuru kama utanitajia aina ya pc na mahali ninakoweza kuipata.
 
washa pc search neno dxdiag utaletewa specs zote.

cpu za 4th generation zinazoishiwa na m au hq au mq zina gpu ya hd4600, cpu hizi huwa kwenye mfumo wa maelfu (namba 4) na huanziwa na namba nne mfano

i3 4100m
i3 4110m
i5 4200m
i5 4300m
i7 4600m
i7 4700mq
i7 4700hq

etc
 
Chief kwa bajeti ya 700k naweza kupata pc nzuri yenye nguvu, performance kubwa, kasi ya ajabu na inayocheza games kubwa kama gta 5 kwa resolution kubwa bila shida??

Nitashukuru kama utanitajia aina ya pc na mahali ninakoweza kuipata.
huwezi kupata laptop inayocheza gta v kwa resolution kubwa kwa chini ya milioni 2 hapa bongo.
 
Chief Kama hutojali naomba unisaidie aina za pc kulingana na hii picha hapa chiniView attachment 398327
minimum ni i3 kuanzia 4th generation inayoishiwa na m au i3 ya 6th generation kwa zinazoishiwa na u. huo ni upande wa cpu.

kwenye gpu minimum tafuta hd4600 kwenye zinazoishiwa na m na hd520 kwenye zinazoishiwa na u, ila ukichagua cpu nzuri automatic na gpu nayo inakuwa nzuri sababu gpu nyingi za laptop sio dedicated, zinakuwa zimeunganishwa na cpu.

unachotakiwa hapo ni kujua benchmarks za hizo cpu, mfano hapo minimum ni core 2 quad 6600, hapa nitatumia benchmark inaitwa passmark na ntaangalia vyote single thread na multithread benchmarks.

hivyo andika google "core 2 quad q6600 passmark" zitakuja result chagua result ya passmark url yake ni cpubenchmark.com utaona score zake zote single thread na multithread ambazo ni
-single thread 923
-multithread 2988

hivyo laptop yoyote utakayoiona inauzwa rudia hio step, ukiona score zake zimepita hio ya q6600 ujue litacheza gta v, ukiona score zake ni ndogo ujue cpu haifai.

kwenye gpu hivyo hivyo rudia hizo step andika "9800gt passmark" utapata score za hio gpu ambayo ni
-score 726

kila gpu ya laptop utakayopata google same way, mfano hizo gpu nilizokutajia zina passmark score hizi
-hd4600 score zake 703
-hd 520 score zake 787

gpu zote mbili zinacheza gta v kwa low setting sababu hazitofautiani sana na hio nvidia gt9800

kwa kibongo bongo kupata laptop za 4th generation used zenye hali nzuri ni rahisi sana, angalia post ya juu nimelist processor zake ukiangalia site kama kupatana utaziona.
 
mkuu nimejipatia hio , siwez kupush gta v hata kwa low specs kweli
 
Attachments

  • 1473627726291653297004.jpg
    1473627726291653297004.jpg
    155.9 KB · Views: 80
mkuu nimejipatia hio , siwez kupush gta v hata kwa low specs kweli
mkuu kibishi bishi utacheza around 20fps low setting sema muda mwengine zinadrop zaidi na kunasa nasa cheki gameplay ya specs zako

sema huyo jamaa ram yake ni 4gb ambayo ipo shared kwenye gpu na cpu hivyo haitoshi kwa gta v ukiongeza hadi 6gb perfomance itaongezeka.

pia hakikisha slot zote mbili za ram umeeka ram ili ufaidike na dual chanell, ukieka ram moja perfomance hushuka pia
 
asante mkuu , hii kitu ni ya kutumiwa asee mwenyew nsingeweza kuchagua hii,nimekoma kumuagiza mtu, nlivoona 1.7 ghz nkanyongonyea kabisa,, ntaenda kuweka 4+4ram ziwe 8
 
mkuu kibishi bishi utacheza around 20fps low setting sema muda mwengine zinadrop zaidi na kunasa nasa cheki gameplay ya specs zako

sema huyo jamaa ram yake ni 4gb ambayo ipo shared kwenye gpu na cpu hivyo haitoshi kwa gta v ukiongeza hadi 6gb perfomance itaongezeka.

pia hakikisha slot zote mbili za ram umeeka ram ili ufaidike na dual chanell, ukieka ram moja perfomance hushuka pia

mkuu kibishi bishi utacheza around 20fps low setting sema muda mwengine zinadrop zaidi na kunasa nasa cheki gameplay ya specs zako

sema huyo jamaa ram yake ni 4gb ambayo ipo shared kwenye gpu na cpu hivyo haitoshi kwa gta v ukiongeza hadi 6gb perfomance itaongezeka.

pia hakikisha slot zote mbili za ram umeeka ram ili ufaidike na dual chanell, ukieka ram moja perfomance hushuka pia

mkuu kibishi bishi utacheza around 20fps low setting sema muda mwengine zinadrop zaidi na kunasa nasa cheki gameplay ya specs zako

sema huyo jamaa ram yake ni 4gb ambayo ipo shared kwenye gpu na cpu hivyo haitoshi kwa gta v ukiongeza hadi 6gb perfomance itaongezeka.

pia hakikisha slot zote mbili za ram umeeka ram ili ufaidike na dual chanell, ukieka ram moja perfomance hushuka pia

Vipi hii unaizungumziaje mkuu??
IMG-20160913-WA0130.jpg
 
Back
Top Bottom