James 2nyi
Member
- Aug 8, 2016
- 23
- 6
ok nmekusoma but lengo langu lilikuwa umeangaliaje hyo gpu kutoka kwenye hyo screenshot aliyotuma jamaa......search neno dxdiag kwenye pc yako utaiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok nmekusoma but lengo langu lilikuwa umeangaliaje hyo gpu kutoka kwenye hyo screenshot aliyotuma jamaa......search neno dxdiag kwenye pc yako utaiona
ni process ndefu kidogo ila ukitulia utajua.ok nmekusoma but lengo langu lilikuwa umeangaliaje hyo gpu kutoka kwenye hyo screenshot aliyotuma jamaa......
kwa ushauri tu, next time ukiwa unaweka OS (windows) weka 64bit ili uweze tumia RAM yote. Inaonyesha una 8gb ram lakini inayotumika ni 2.7gb, 5gb nzima imekaa tu haina kazi!!! ukitaka kutumia RAM yote tumia windows yenye 64bitVipi hii unaizungumziaje mkuu??View attachment 399453
Asante kwa maelezo mkuuni process ndefu kidogo ila ukitulia utajua.
hizi ni gpu kwa generation kuanzia 2nd gen kupanda
-2nd generation gpu yake ilikuwa ni intel hd 2000/3000
-3rd generation ilikuwa intel hd 4000
-4th generation ilikuwa ni intel hd 4600 na hd 4400 (cpu zinazoishiwa na u) na iris pro
-5th generation ni intel hd 5500 na iris pro 6200, kwa laptop za u 6100
-6th generation ni hd520 (laptop za u) na hd 530 (laptop za H) pia zipo iris 540 (u) iris 550 (u ya 28 watts) na iris 580 (H)
sasa wewe unaangalia tu generation cpu ilipotoka mfano huyo jamaa hapo juu cpu yake ni 2540m inamaana ni cpu ya second generation hivyo gpu yake ni intel hd 2000 au hd 3000 ambazo haziwezi kuhandle gta v. ili ucheze gta v inabidi uwe na pc ya kuanzia 4th generation na gpu kama intel hd 4600, hd520, hd530, iris pro etc
kuhusu hizo iris pro gpu cpu zake zote huishiwa na namba 7 mbele kama vile
i3 6167u
i5 6267u
i7 6567u
ukiona tu laptop cpu yake imeishiwa na 7 ujue ina iris pro au iris hivyo ni vyema kuhakikisha unapata hio sababu gpu zake zina nguvu sana, pia kila generation inavyopanda ndio gpu zinavyokuwa nzuri.
neno la vipi mkuu?Mkuu CHIEF MKWAWA ebu ipe neno kidogo hii microsoft surface pro 3:
256GB SSD/Intel i5 version:
4th generation Intel Core i5-4300U 1.90 GHz (with Turbo Boost Technology up to 2.9GHz) with Intel HD Graphics 4400
Somo nzuri sana!Kwa hii ni kundi gani
Intel(R) Pentium(R) CPU N3540 @ 2.16GHz 2.16GHz
neno la vipi mkuu?
Nataka niichukue... Vip inafaa??neno la vipi mkuu?
itategemea na bei mkuu na matumizi. surface pro 3 ni nzuri kuliko tablets nyingi.Nataka niichukue... Vip inafaa??
Oooh nimekuelewa.. Nataka ya matumizi ya kiofisi tuitategemea na bei mkuu na matumizi. surface pro 3 ni nzuri kuliko tablets nyingi.
yap kiofisi itafaa, ila bei ni muhimu kuangalia sababu tayari kuna surface pro 4 na muda si mrefu itatoka surface pro 5.Oooh nimekuelewa.. Nataka ya matumizi ya kiofisi tu
Sawa kaka pamoja sanayap kiofisi itafaa, ila bei ni muhimu kuangalia sababu tayari kuna surface pro 4 na muda si mrefu itatoka surface pro 5.
angalizo isizidi 1.5m
Mimi nina mashine aina ya Hp na Processor yake ni Intel(R) Core(TM)2 Quad CPU Q9400 2.66Ghz 2.67Ghz Je itanifaa kwa kazi za Editing na Kucheza Game?
255K...mkuu..used..hiyo?kibishi bishi inafaa mkuu, sema games nyingi zitasumbua na rendering ukisha edit itachukua muda mrefu. ukiongeza gpu itasaidia kidogo.
sasa hivi mkuu unapata machine za i5 kwa bei rahisi hadi 255,000 unaweza ukauza hio na kuchukua i5 ambayo ina nguvu zaidi. halafu ukaongeza tu gpu
confirm CPU yake ni i5 5200u? unainunua wapi? bei gani?chief nishauri kuhusu hii PC inaitwa HP probook 450 i5
desktop used,255K...mkuu..used..hiyo?