kama mfuko upo vizuri zenye hd 520, 620, 630 na 530 ni nzuri zaidi zinaanzia around laki 7 hadi 8 kwa i3 na mpaka milioni moja kwa i5.
kama mfuko haupo vizuri ndio hakikisha unapata hd 4600 (4th gen) hizi mara nyingi used unazipata around laki 5 inaweza panda au shuka kidogo.
kuhusu majina ni tabu kidogo sababu series hizo hizo ndio zinakuwa updated tu mfano dell xps 15 zipo za 4th, 5th, 6th na 7th generation, hizo pavilion 15 nazo zipo hivyo hivyo zina kila aina ya cpu hivyo inakuwa ngumu.
hapo hadi upate full name ya laptop ucheki online mfano kama hivi
HP Pavilion 15 -au063