mkuu unanibishia mimi mwenye machine , nna gpu 2 moja onboard 768mb ndo ukubwa wake , nyingine ya pembeni ni 2Gb asee, ebu google about crossfire kidogo maybe utaelewa kumbe amd zenye gpu zaid ya moja hazijaanza leo ,
alafu hio i3 uliyonitajia ni powerful mkuu ni 6th gen , inaweza ikaipiku hata yako japo nna kauhakika nimeizid i3 hazina turbo na nahisi hata hyper thread haina , alaf mkuu nadhan una uzoef na mambo haya kiasi cha kujua kuwa computer mbili zinazofanana zinaweza zikawa na benchmark tofaut ,
tukianza kuzungumzia iris nakubal ni bora zaid , ila ukianza kuongelea gpu tutaingia kwenye mada nyingine kabisa ya kulinganisha gpu ,
ila mkuu unacheza game yoyote kwenye pc yako ? kama unacheza gta v walau sema unapata fps ngap , hii kitu kusema tu hii bora kuliko hii bila kujaribu siamini
umezungumzia kuongeza ram na hdd , mi nimeongelea nilivyozikuta mkuu , maybe niseme tu hii yangu ilikuwa ni 850k na ya i7 ilikuwa ni 1.4m kwahio ilikuwa mbal na unene wa mfuko wangu kwa wakati huo , usisahu pia sio kila laptop unaweza kuongeza ram tu , kuna limitation mzee, pamoja na hvyo nna additional slot 2 za ram , jumla zipo nne