Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #1,881
Hiki kimeo balaa,Ni dell latitude d 610
Duuh kwaiyo hapa nitafte window xp tu t yhnHiki kimeo balaa,
Itakusumbua sana mwisho ni win xp.
Jaribu hizo drivers za xp, unajua kurun na compability mode? Wakati wa kuinstall weka compability mode ya xp.Duuh kwaiyo hapa nitafte window xp tu t yhn
Shukran mkuu nilishusha window nikaweka xp nikaweka na driver zake za sauti ikakubariJaribu hizo drivers za xp, unajua kurun na compability mode? Wakati wa kuinstall weka compability mode ya xp.
Naomba muongozo hapa mkuu..Hiki kimeo balaa,
Itakusumbua sana mwisho ni win xp.
Ndio mkuu inafaa, ram Uta upgrade mwenyewe baadae.Naomba muongozo hapa mkuu..
Processor: 11th Gen Intel(R) Core (TM) i5 1135G7 @2.40 GHz 2.42 GHz.
RAM 4GB
Vipi hii mkuu inafaa kwa matumizi heavy?
Kilicho nichanganya ni hiyo 1135g7 nikashindwa elewa maana naona imeanza na "1" nikadhani bado ni 1st generation.Ndio mkuu inafaa, ram Uta upgrade mwenyewe baadae.
Sema hapo kwenye heavy kuna baadhi ya vitu vichache pengine ukahitaji dedicated gpu, ila gpu ya tigerlake ni nzuri kufanya mambo mengi.
Ni gen ya 11, na kuna zinazoishiwa na G1, g4 na g7, hio ni g7 ina maana graphics zake za ndani ni nzuri zaidi,Kilicho nichanganya ni hiyo 1135g7 nikashindwa elewa maana naona imeanza na "1" nikadhani bado ni 1st generation.
Huu ni mtambo!Naomba muongozo hapa mkuu..
Processor: 11th Gen Intel(R) Core (TM) i5 1135G7 @2.40 GHz 2.42 GHz.
RAM 4GB
Vipi hii mkuu inafaa kwa matumizi heavy?
Mkuu kuna kitu kidogo hapa kinanitatiza mwanzon mwa uzii umesema core i5 haina thread ila core i7 inayo nin maana ya thread na ina kazi gan kwenye upande wa processorNi gen ya 11, na kuna zinazoishiwa na G1, g4 na g7, hio ni g7 ina maana graphics zake za ndani ni nzuri zaidi,
Kwanza mkuu hizo ni data za zamani, cpu zote mpya za sasa i5 ina thread, nafkiri desktop gen ya 8 na laptop high perfomance ndio i5 ya mwisho isio na thread ilikuwepo.Mkuu kuna kitu kidogo hapa kinanitatiza mwanzon mwa uzii umesema core i5 haina thread ila core i7 inayo nin maana ya thread na ina kazi gan kwenye upande wa processor
Nasikia hizi hauna haja ya graphics card kwa sisi wazee wa game zinatufaa sana
kwa laptop lakini, gpu yake ni equivalent na rx 550 hio yako.Nasikia hizi hauna haja ya graphics card kwa sisi wazee wa game zinatufaa sana
Mkuu hapa kuna kipengere kidogo naitaj msaada mwanzo nilikuwa natumia pad ya ps3 kuchezea game nimeunganisha na Bluetooth dogle ya 2.0 ila nikicheza game kama pad cjaelekea mbele haikamati vzr nikais lbd pad za ps3 now nimenunua ya ps4 ila bado hali ni ile ile na nina dogle mbili ila zote n vle vle kaka kuna kitu labd natakiwa niapdate!?kwa laptop lakini, gpu yake ni equivalent na rx 550 hio yako.
Ooh! Kumbe cio zakutisha sanakwa laptop lakini, gpu yake ni equivalent na rx 550 hio yako.
Pengine issue ni hio dongle, tuna tatizo kubwa sana la adapter za Bluetooth na wifi kibongo bongo.Mkuu hapa kuna kipengere kidogo naitaj msaada mwanzo nilikuwa natumia pad ya ps3 kuchezea game nimeunganisha na Bluetooth dogle ya 2.0 ila nikicheza game kama pad cjaelekea mbele haikamati vzr nikais lbd pad za ps3 now nimenunua ya ps4 ila bado hali ni ile ile na nina dogle mbili ila zote n vle vle kaka kuna kitu labd natakiwa niapdate!?
Kwa laptop hasa za i3 pentium na celeron inasaidia,Ooh! Kumbe cio zakutisha sana
Pc yng yenyewe mkuu ina njia mbili tu za pce moja ndio inakaa graphics card ingne nimeweka card ya wifi hakuna tena ingnePengine issue ni hio dongle, tuna tatizo kubwa sana la adapter za Bluetooth na wifi kibongo bongo.
Ya ps3 pia unaweza ukatumia wired.
Jaribu kutafuta laptop utestie kama tatizo kina endelea?
In long term tafuta adapter ya Bluetooth na wifi ambazo ni built in kama laptop kupitia m2 ama pcie.