Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Naomba muongozo hapa mkuu..

Processor: 11th Gen Intel(R) Core (TM) i5 1135G7 @2.40 GHz 2.42 GHz.

RAM 4GB

Vipi hii mkuu inafaa kwa matumizi heavy?
Ndio mkuu inafaa, ram Uta upgrade mwenyewe baadae.

Sema hapo kwenye heavy kuna baadhi ya vitu vichache pengine ukahitaji dedicated gpu, ila gpu ya tigerlake ni nzuri kufanya mambo mengi.
 
Ndio mkuu inafaa, ram Uta upgrade mwenyewe baadae.

Sema hapo kwenye heavy kuna baadhi ya vitu vichache pengine ukahitaji dedicated gpu, ila gpu ya tigerlake ni nzuri kufanya mambo mengi.
Kilicho nichanganya ni hiyo 1135g7 nikashindwa elewa maana naona imeanza na "1" nikadhani bado ni 1st generation.
 
Ni gen ya 11, na kuna zinazoishiwa na G1, g4 na g7, hio ni g7 ina maana graphics zake za ndani ni nzuri zaidi,
Mkuu kuna kitu kidogo hapa kinanitatiza mwanzon mwa uzii umesema core i5 haina thread ila core i7 inayo nin maana ya thread na ina kazi gan kwenye upande wa processor
 
Mkuu kuna kitu kidogo hapa kinanitatiza mwanzon mwa uzii umesema core i5 haina thread ila core i7 inayo nin maana ya thread na ina kazi gan kwenye upande wa processor
Kwanza mkuu hizo ni data za zamani, cpu zote mpya za sasa i5 ina thread, nafkiri desktop gen ya 8 na laptop high perfomance ndio i5 ya mwisho isio na thread ilikuwepo.

Hilo Neno multihtread kwenye cpu humaanisha uwezo wa core 1 kuhandle thread mbili, hivyo cpu yenye core 4 inaweza kuhandle thread 8, sema real core ni bora kuliko multithread.

Kuelewa vizuri mkuu kuhusu thread kama umewahi kutumia software ya IDM kudownload file, hii software unagawanya file mara 8, kila kipande kinadownloadika tofauti halafu baadae vikiisha inaunga na kuwa file moja. Hii hurahisisha kazi na kufanya file lidownload haraka haraka.

Kwenye game ama unapo browse concept ni hii hii, ile kazi inagawanywa kwenye core na thread mbalimbali ifanyike haraka haraka.
 
IMG_0991.png
 
kwa laptop lakini, gpu yake ni equivalent na rx 550 hio yako.
Mkuu hapa kuna kipengere kidogo naitaj msaada mwanzo nilikuwa natumia pad ya ps3 kuchezea game nimeunganisha na Bluetooth dogle ya 2.0 ila nikicheza game kama pad cjaelekea mbele haikamati vzr nikais lbd pad za ps3 now nimenunua ya ps4 ila bado hali ni ile ile na nina dogle mbili ila zote n vle vle kaka kuna kitu labd natakiwa niapdate!?
 
Pengine issue ni hio dongle, tuna tatizo kubwa sana la adapter za Bluetooth na wifi kibongo bongo.

Ya ps3 pia unaweza ukatumia wired.

Jaribu kutafuta laptop utestie kama tatizo kina endelea?

In long term tafuta adapter ya Bluetooth na wifi ambazo ni built in kama laptop kupitia m2 ama pcie.
 
Ooh! Kumbe cio zakutisha sana
Kwa laptop hasa za i3 pentium na celeron inasaidia,

Ina maana kwa baadae mtu atakuja kununua laptop inayoweza kucheza games kwa bei ya kawaida tu.
 
Pengine issue ni hio dongle, tuna tatizo kubwa sana la adapter za Bluetooth na wifi kibongo bongo.

Ya ps3 pia unaweza ukatumia wired.

Jaribu kutafuta laptop utestie kama tatizo kina endelea?

In long term tafuta adapter ya Bluetooth na wifi ambazo ni built in kama laptop kupitia m2 ama pcie.
Pc yng yenyewe mkuu ina njia mbili tu za pce moja ndio inakaa graphics card ingne nimeweka card ya wifi hakuna tena ingne
 
Ila kuna jamaa angu ye huwa anatumia kwenye laptop hizi dogle cjawah msikia hata nikimuuliz kwake ye haisumbui
 
Back
Top Bottom