chuxxe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 601
- 370
Ila mkuu ivi upande wa laptop hakuna zile gpu za extra high profile au low profile na vp izi laptop zenye rtx 2060 zenyew pia hazili umeme?Processor itafaa hapo utatakiwa uongeze gpu, kama huna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mkuu ivi upande wa laptop hakuna zile gpu za extra high profile au low profile na vp izi laptop zenye rtx 2060 zenyew pia hazili umeme?Processor itafaa hapo utatakiwa uongeze gpu, kama huna.
Laptop gpu zake zinachomelewa tu ndani, na hata kama zinakula umeme si sana, wanakuwa wameshafanya consideration wenyewe wa tengeneza laptop, sema bei ndio inakuwa ndefu.Ila mkuu ivi upande wa laptop hakuna zile gpu za extra high profile au low profile na vp izi laptop zenye rtx 2060 zenyew pia hazili umeme?
Kaka mbona hiyo processor haina herufi mwishoni?Inamaanisha nini?Processor itafaa hapo utatakiwa uongeze gpu, kama huna.
Ni desktopKaka mbona hiyo processor haina herufi mwishoni?Inamaanisha nini?
Za desktop zote hazina herufi?Ni desktop
Ndio ni namba tuZa desktop zote hazina herufi?
Zipo desktop ndogo ndogo cpu zake zina herufi kama zinazoishiwa na T ama S ama R hizi huwa zinatumia umeme kidogo na nyengine zina graphics kali, ila sio mainstream.Za desktop zote hazina herufi?
Shukrani kaka.Hivi kwa desktop kati ya generations na core i series ni kipi ni muhimu zaidi/ni kipi kina nguvu zaidi?Mfano kati ya desktop hizi mbili hapa chini ni ipi ina nguvu zaidi:Ndio ni namba tu
Iyo ya pili kwauwelewa wangu ni kari zaidi ingekuwa laptop kwer mzeeShukrani kaka.Hivi kwa desktop kati ya generations na core i series ni kipi ni muhimu zaidi/ni kipi kina nguvu zaidi?Mfano kati ya desktop hizi mbili hapa chini ni ipi ina nguvu zaidi:
1.Ya kwanza ni core i5 generation ya kumi.
2.Ya pili ni core i9 generation ya sita.
Kati ya hizi desktop mbili ni ipi ina nguvu zaidi/nzuri zaidi?
Inategemea na generation na generationShukrani kaka.Hivi kwa desktop kati ya generations na core i series ni kipi ni muhimu zaidi/ni kipi kina nguvu zaidi?Mfano kati ya desktop hizi mbili hapa chini ni ipi ina nguvu zaidi:
1.Ya kwanza ni core i5 generation ya kumi.
2.Ya pili ni core i9 generation ya sita.
Kati ya hizi desktop mbili ni ipi ina nguvu zaidi/nzuri zaidi?
Shukrani kakaInategemea na generation na generation
Gen ya 2 mpaka ya 7, utofauti ulikuwa mdogo sana, i5 zote zilikuwa na core 4 zilitofautiana tu GHz na mambo madogo, ila kuanzia gen ya 8 mambo yalibadilika upesi sana, hivyo i5 ya gen za mbele ni bora kuliko i7 gen ya 7 kushuka.
Kuanzia gen ya 8 mpaka ya 11 kwenye desktop ni kama zinafanana tu ukiipata i7 gen ya 8 ama i9 ni bora kuliko i5 ya gen ya 10.
Ila kwenye laptop ni habari nyengine hata i3 ina nguvu sana ikiwa gen ya 10 ama 11, i3 gen ya 11 ina nguvu kuliko i7 gen ya 7. Sababu ni kwamba laptop zina architecture mpya ya ice lake na tigerlake zilizotengenezwa kwa manufacturing process ya 10nm, hii bado haijafika kwenye desktop.
Kwa desktop sasa hivi Ryzen za Amd ndio ni kali sana zinampita Intel, ila ni Ryzen series ya 5000.
Kaka kuna siku fulani ulinitumia website ambayo huwa inaweka katika group moja CPU zote ambazo zinaingiliana katika motherboard,mfano unakuta CPU fulani za Celeron zipo kwenye kundi moja la motherboard na CPU za intel core i5-5700U.Je unaweza kunitumia tena hiyo website?Zipo desktop ndogo ndogo cpu zake zina herufi kama zinazoishiwa na T ama S ama R hizi huwa zinatumia umeme kidogo na nyengine zina graphics kali, ila sio mainstream.
![]()
Kaka kuna siku fulani ulinitumia website ambayo huwa inaweka katika group moja CPU zote ambazo zinaingiliana katika motherboard,mfano unakuta CPU fulani za Celeron zipo kwenye kundi moja la motherboard na CPU za intel core i5-5700U.Je unaweza kunitumia tena hiyo website?
Shukrani mkuu!🙏🙏
Sema uki Google cpu husika na jina LA website pamoja inakuwa haraka zaidi kuliko kuingia website moja kwa moja.
Itacheza games nyingi ila kwa quality ndogo kabisa, na games za kisasa za kuanzia mwaka jana baadhi hazitacheza.Chief vip hii laptop inafaa kwa matumizi makubwa kama
cheza game ??View attachment 1818438
Sent from my M2010J19SG using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa chiefItacheza games nyingi ila kwa quality ndogo kabisa, na games za kisasa za kuanzia mwaka jana baadhi hazitacheza.
Kwanza pc hii haina thamani ya laki 8Nimekuelewa chief
1.je kwenye performance ikoje?
2.ushauri wako nibudget ya 800k, ni pc ip yenye specificarion zuri naweza pata kwa budget hiyo
kigezo kikubwa performance iwe zuri pia kuplay games?
Sent from my M2010J19SG using JamiiForums mobile app