architechture mkuu, kama vile tunavyosema generation kwenye cpu na gpu pia zina architecture zake.
pia kwenye gpu unaangalia namba ya kati, mfano rx 550 mwenzake ni gtx 750ti kwa nvidia ambaye akawa succeeded na 950 na 1050, zote hizi unaona zina 5 kama namba ya kati, hio inaelezea series yake.
1650 yenyewe inakaribia level za kina 1060, japo haijafikia ila somehow ina nguvu kushinda hawa wa series za 5. hivyo bila doubt hata kama ina 2gb ram itakuwa na nguvu kama mara 2 ama 3 ya rx 550.
sema tatizo ni bei mkuu kuipata hio 1650, hawa wapuuzi wa bitcoin choice yao ni excatly kama ya kwetu wanaangalia ulaji umeme, 1650 inakula umeme mdogo sana watts 75 kushuka hali ya kuwa inakupa perfomance kubwa, bei yake Nvidia waliizindua kama $149 ambayo ni around 350,000 mpya, ila amazon ukienda nyingi zinazidi milioni 1, sababu ya jamaa wa Bitcoin wanazinunua. hivyo itamani tu mkuu kuipata ni ndoto.
gt 1030 ambayo ni gpu ndogo sana tulikuwa tunanunua mpaka 150k sasa hivi hadi laki 4 kupanda.