Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #1,941
Processor ipo vizuri Mkuu na huwezi kuiongeza.Mkuu hivi hii processor yangu iko sawa kweli? naweza kuiongeza? naweza kucheza game?View attachment 1820384
Hii machine ina gpu dedicated ama ni hii hii inayokuja na cpu? Kama ni hii utacheza games nyingi ila za kisasa utacheza kwa quality ndogo na baadhi hazitarun kabisa.