Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Pc yng yenyewe mkuu ina njia mbili tu za pce moja ndio inakaa graphics card ingne nimeweka card ya wifi hakuna tena ingne
hio card ya wifi na bluetooth inakuwa moja, card yako haina bluetooth? hio pcie?
 
inakuja na ssd kaka, ngoja niachane nayo tu maana itakuwa nimeingia gharama bure tu
Ina mpaka back-lit keyboard Angalia labda ina nvidia ama Amd gpu,

Sababu cpu wise haipo vibaya ni gpu ndio inazingua gen ya 3, ukipata yenye dedicated gpu haina tabu.
 
chukua mkuu, hii details haikuwepo huko juu.

650m ina nguvu kushinda gpu za ndani hadi gen ya 9, hivyo kwa hii budget graphics wise hii machine ni nzuri zaidi.

sawa kaka ngoja nipambanie nichykue maana mm lengo langu ni kuchezea games tu, apa nina i7 gen ya 5 tatizo aina graphics card ndo shida yake kubwa tu , ii laptop proccesor sitaweza upgrade lakini au unanishaurije niuze ii i7 ambayo ni toshiba p55w ndo model no yake
 
Sante sana Chief
 
I7 na i5 kwenye laptop utofauti mdogo sana, labda u upgrade kwenda MQ series zenye core 4 na thread 8

Kwa laptop yako upgrade kwenda i7 3632QM, itafute taratibu machinga ama agrey
 
chukua mkuu, hii details haikuwepo huko juu.

650m ina nguvu kushinda gpu za ndani hadi gen ya 9, hivyo kwa hii budget graphics wise hii machine ni nzuri zaidi.
Mkuu hivi graphics card zinazoishia na M mwisho ni ddr3 uwa au maana naona hii series ya nvdia inapatikn kwenye laptop tu
 
Me kwenye game nimeshamaliza kitambo juz nimevuta pad zangu mbili za ps4 naplay tu mizigo sina homa
 
Mkuu hivi graphics card zinazoishia na M mwisho ni ddr3 uwa au maana naona hii series ya nvdia inapatikn kwenye laptop tu
Sio zote, hii 650M ni ddr3, ila zipo pia za ddr5 kama latest hizi 960M, 950M, etc. Hivyo inabidi ugoogle gpu husika kuangalia kama ni ddr3 ama ddr5.
 
Mwanzo nilikuwz nanunua izi game kwa elf 5000 moja ila now nadownload mwnyew tu home maana watu wanaringa sana
 
Kwa network ya airtel pale kwang x mbaya sana 1.8mbps so mbaya gb20 ndani ya masaa manne nakua tyl nimeshashusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…