Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
angalia mkuu inasoma hata hio 3G? maana nijuavyo simu za T mobile hata 3G inaweza ikazingua.
pia angalia mambo mengine kama ussd, sms charachter, uwezo wa kushika network etc mengine utayaona humu
Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani
ahsanteh mkuu je kati ya hizi nichukue ipi used huawei p8,lenovo vibe shot,htc desire 820,s5 na tecno c9
kwa kuzingatia camera,cpu,ram na battery? ahsanteh mkuu