Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

perfomance
-s5
-p8
-vibe shot/desire 820
-c9

kwenye ram s5 na p8 watakuwa juu compare na hao wengine sababu hizi ni flagship mara nyingi ram zake ni dual chanell compare na single chanell ya simu ndogo.

battery pia s5 inakaa zaidi, walobakia ni average japo p8 inajitahidi kiasi.

kwenye camera ngumu kusema ila megapixel wise lenovo na s5 ndio zina megapixel nyingi, ila naweza kusema s5 pia itatoa picha nzuri.

kwa hizo mkuu s5 all around ni simu nzuri zaidi, hasa kama utapata version ya sd 805 yaani galaxy s5 plus, ina nguvu kama note 4.
 
ahsanteh sana mkuu na utofauti ni upi kati ya p8 na p8 lite?
 
p8 ndio yenyewe simu husika, na p8 lite ni ile ambayo imepunguzwa specification.

mfano
-p8 ram ni 3GB na p8 lite ni 2GB
-p8 ina core 8 na p8 lite ina core 4
-storage p8 ni hadi 64GB wakati p8 ni 16GB

hivyo unaona kwenye lite kila kitu kinakuwa kidogo kuliko p8
 
ahsanteh mkuu na je vipi kuhusu hizo
simu naweza cheza game nzito kama
gta san andrea au nyingine kubwa
zitacheza? na je hi htc one m8 vipi
chipset yake itamudu hizo mikiki snapdragon 801 na upande wa
camera nayo vipi maana nimeiona kwa bei
inaridhisha kidogo.ahsante
 
m8, s5, lg g3, xperia z3, one plus one na x kama sijakosea, xperia z3 compact na flagship zote za 2014 zinafanana. zote zina sd800/801/805 ambazo hazina utofauti sana.

hivyo yoyote utayochukua sio mbaya iwe m8 au s5.

kwa camera m8 haikuwa nzuri kama wenzake.

games utacheza ila kwa standard ya sasa ni simu ya kati, utacheza almost games zote.
 
Mkuu Chief-Mkwawa, najua umekuwa msaada hapa JF. Naomba nidandie huu uzi kidogo ili nisianzishe uzi mwingine kupunguza msongamano. Mimi nime-install internet download manager(IDM) na nimetumia fake keys. Kutokana na hilo IDM imekuwa ina-pop kwenye screen mpaka kero. Nisaidie nawezakufanyaje hilo lisitokee ila niendelee kutumia IDM?
Asante.
 
tumia hii page

Internet Download Manager 6.28 Build 15 Full [Latest] - KaranPC

toa idm yako, eka idm utakayodownload kwenye hio adress hapo juu kisha install kutokana na maelezo.
 
Screenshot_2017-07-07-17-49-07.png
m8, s5, lg g3, xperia z3, one plus one na x kama sijakosea, xperia z3 compact na flagship zote za 2014 zinafanana. zote zina sd800/801/805 ambazo hazina utofauti sana.

hivyo yoyote utayochukua sio mbaya iwe m8 au s5.

kwa camera m8 haikuwa nzuri kama wenzake.

games utacheza ila kwa standard ya sasa ni simu ya kati, utacheza almost games zote.
Ahsanteh mkuu nimechukua lg g2 ila nimkutana na hii kitu bluetoth haiwaki na wifi ina load tu sasa je kun msaada wa app yeyot ya kuwa mbadala wa hii kitu ni version ya europe na msaada jinsi ya ku update kwenda lollipop maan kila nikiangalia kwenye updtes inakuj hivi
 
View attachment 537336

umeshaeka account ya google? maana kunakuwa na registration pale.

hio wifi na bluetooth inawezekana ikawa hardware problem kuna simu nyingi zinafeli radio na kusababisha hivyo. fanya updates ukiona tatizo bado lipo mwambie akubadilishie
 
Google nimeweka sasa sijaona pahala pakueka registration mkuu?
 
View attachment 537336
Ahsanteh mkuu nimechukua lg g2 ila nimkutana na hii kitu bluetoth haiwaki na wifi ina load tu sasa je kun msaada wa app yeyot ya kuwa mbadala wa hii kitu ni version ya europe na msaada jinsi ya ku update kwenda lollipop maan kila nikiangalia kwenye updtes inakuj hivi
Imetolewa na carrier gan hyo lg????
 
nimeona sehemu unaweza kutumia proxy kui register, unatakiwa tu ujue inapotoka.

kama kuna alama yoyote kwenye simu ya mtandao wa simu kama vodafone, orange, t-mobile etc nambie au njia nyengine tuangalie firmware yake ni ya wapi hapo hapo kwenye about utaona.
!
Screenshot_2017-07-08-16-54-09.png
Screenshot_2017-07-08-16-53-08.png
Screenshot_2017-07-08-16-53-26.png
 
Au naenda sehemu gani?
ni sawa mkuu na model ipo fresh, sijui tatizo ni nini. labda hapo uflash manual kwenda android 5.

pia naskia unaweza kuregister na proxy kama unafahamu nchi iliotoka hio simu,

labda ujaribu kueka proxy ya ulaya then ujaribu kucheki update kama ita register.
 
NNn

Naomba msaada hapo kwenye ku register proxy ya ulaya mkuu na. Jinsi ya ku updates manual maana nili google skupata msaada wa kujitoshereza
 
Back
Top Bottom