Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nimerudi tene mkuu, naomba msaada.
Nikifungua PDF file napata ujumbe "verify operation fail", niki-click okay msg inaondoka na sioni tatizo lolote baada ya hapo, maana file linafunguka kawaida, ila nadhani kunashida mahali. Please help Chief-Mkwawa.
 
unatumia adobe reader? nafkiri ni tatizo linahusiana na software unayotumia kufungulia pdf
 
Attachments

  • Capture-30.PNG
    Capture-30.PNG
    54.1 KB · Views: 55
Back
Top Bottom