korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
uzuri hyu jamaa anadai ana ofisi hpo moshi mjini nitaenda kesho kuangalia kma ni kweli au laa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap! Ni vyema ukaenda direct hakikisha mnaenda wawili, ikibidi omba ulinzi kwa askari anayevaa kiraia, maana ...uzuri hyu jamaa anadai ana ofisi hpo moshi mjini nitaenda kesho kuangalia kma ni kweli au laa
Hivi mkuu inawezekana ku-upgrade RAM technology kwenye pc, yani mashine yenye ram za ddr3 uzitoe hizo na uweke ram za ddr4. Is it possible kweli? Manake I'm worried about their differences (ddr4 vs ddr3) design-wise.probably ni tapeli, umehakiki huyo muuzaji anaaaminika?
hio laptop ni around 1.5 mpaka 2 million. no way iuzwe bei hio.
Hata kama ingekuwa ni used na imeharibika display huwezi kuuziwa kwa bei hiyo unless anaweka bondi. Hapo chance ya utapeli ni 100%, tena unakuta machine hiyo hiyo moja ina matangazo zaidi ya moja ila mikoa tofauti.VP mkuu hii mashine kwa hyo bei ni halali kweli? maana naona kma specifications zake na bei iliyotajwa havina uhusiano hta kidogo na mzigo ni brand new, na je inafaa kwa kucheza games za kisasa?View attachment 753169
inawezekana ndio ila ni motherboard chache sana zina uwezo huo.Hivi mkuu inawezekana ku-upgrade RAM technology kwenye pc, yani mashine yenye ram za ddr3 uzitoe hizo na uweke ram za ddr4. Is it possible kweli? Manake I'm worried about their differences (ddr4 vs ddr3) design-wise.
Nilikuwa nacheck google comparison ya ddr3 vs ddr4 ram, kuna kile ki-gape/notch (U-shape) kwenye ram kinachoingia pale kwenye slot ya laptop wakati wa kupachika. Ki-gape cha ram ya ddr4 kiko katikati lakini cha ram ya ddr3 hakiko katikati (kiko pembeni) so ukipachika ddr4 ram kwenye slot/motherboard ya ddr3 it won't physically fit into the socket. Pia na hapo unaposema kuanzia 6th Generation Processor na kuendelea una maana ram zake ziko designed kufit both ddr3 and ddr4 motherboards?inawezekana ndio ila ni motherboard chache sana zina uwezo huo.
kwenye generation ya 6 ya Intel ndio kulikuwa na hio transform ya kutoka DDR3 kwenda DDR4 hivyo kuna manufacture walizipa uwezo motherboard kutumia Ram zote sababu supply ya DDR4 haikuwa kubwa.
mfano wa morherboard ni hii
ASRock > B150M Combo-G
hivyo angalia aina ya motherboard kwanza
ddr3 design yake ni ile ile na ddr4 design yake ni ile ile ni kwamba tu 6th gen ndio kulikuwa na hilo badiliko la kuja ram za ddr4 ila sababu wateja walikuwa hawajazijua vizuri na sokoni hazikuwa nyingi baadhi ya manufacture wakaanza kutengeneza motherboard zinazokubali ram zote mbili.Nilikuwa nacheck google comparison ya ddr3 vs ddr4 ram, kuna kile ki-gape/notch (U-shape) kwenye ram kinachoingia pale kwenye slot ya laptop wakati wa kupachika. Ki-gape cha ram ya ddr4 kiko katikati lakini cha ram ya ddr3 hakiko katikati (kiko pembeni) so ukipachika ddr4 ram kwenye slot/motherboard ya ddr3 it won't physically fit into the socket. Pia na hapo unaposema kuanzia 6th Generation Processor na kuendelea una maana ram zake ziko designed kufit both ddr3 and ddr4 motherboards?
huwezi kui upgrade na perfomance yake ni ndogo sana, zimetengenezwa ili zisile umeme sana.Mkuu laptop yangu iko Intel(R) Celeron(R) CPU N3050 @ 1.60GHZ 1.60GHz . Vipi performance yake? Je naweza kui upgrade?
huwezi kui upgrade na perfomance yake ni ndogo sana, zimetengenezwa ili zisile umeme sana.
Hapo nimekusoma Chief [emoji106][emoji109]ddr3 design yake ni ile ile na ddr4 design yake ni ile ile ni kwamba tu 6th gen ndio kulikuwa na hilo badiliko la kuja ram za ddr4 ila sababu wateja walikuwa hawajazijua vizuri na sokoni hazikuwa nyingi baadhi ya manufacture wakaanza kutengeneza motherboard zinazokubali ram zote mbili.
ila sasa hivi kwenye gen 8 ni ddr4 tu, hakuna tena ddr3.
kuhusu huo muingiliano wa vi notch ni kwamba motherboard inakuwa na slot nyingi za ram, mfano hii asrock 150 combo bi slot 2 tu ndio za DDR4 wakati za DDR3 ni 4, hivyo max unaweka hadi 32GB ya DDR4. angalia specs hapa
ASRock > B150 Combo
kidogo nimekuja sa hizi nipo na 650k naweza kuchukua aina gani kwa shughuli hizoNi aina gani ya pc iko vizuri katika video editing,ghraphic designing na ina support games?? Used kwa bei rahisi kama unaweza kunielekeza hata kwa link ya kwenye kupatana na mitandao mingine au sehemu yoyote ila nipo dodoma
Naziona kupata hapa mkuu ila kengele ya utapeli inalia. Una mtu zanzibar unayemfahamu?kidogo nimekuja sa hizi nipo na 650k naweza kuchukua aina gani kwa shughuli hizo
Huko akipata mtu nami a nishtue tuNaziona kupata hapa mkuu ila kengele ya utapeli inalia. Una mtu zanzibar unayemfahamu?
Hp Pavellion Core i7 (New**Offer) Zanzibar Urban/Wes1918036
Possibility ya kuwa tapeli huyo jamaa ni kubwa kama huna mtu wa kwenda kwenye duka lake usinunue kwa kutuma hela
kidogo nimekuja sa hizi nipo na 650k naweza kuchukua aina gani kwa shughuli hizo
Amd kwenye apu zake za ryzen ametoa moja ina itwa Ryzen 3 2200u kwa muono wangu hii ni best kwenye low end laptop maana utapata perfomance kama i5 za kibongo bongo na gpu nzuri kwa low quality gaming. Pia bei yake si mbaya around dola 300 mpaka 400 hivi kibongo bongo sijui kama zimeingia.Huko akipata mtu nami a nishtue tu
Ni ndogo sana mkuu. Perfomace ya single thread ni kama i3 sema haina hyperthread hivyo kwenye multicore inapitwa na i3.Vp kuhusu quad core amd a6 5350