Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Nimeangalia rx 550 ya xfx Ina rating nzuri tu Amazon, na mauzo ya kutosha.
 
Ndio tunaweka hap kaka ila ajabu ni amd ila inaadika Microsoft BASIC kama Intel[emoji848][emoji848]
huenda hujaweka driver zake og. (Au umepigwa)
Ukipachika hiyo gpu waya wa vga inatakiwa uukonect kwenye hiyo gpu. Na port og za pc zosifanye kazi.

Umedownload kutok kwenye site ya amd na una uhakika ni driver za model ya gpu yako husika?
 
Ndio nadawnload hapa mkuu tuweke nione
 
Ikiandika Microsoft basic ni hakuna drivers za graphics.
Mrejesho mkuu tumeweka driver imekubal bila shida ila tabu iliyopo hapa ni tukichomeka HDMI direct kwenye card ilakuwa haid display au mda mwingine inazunguka then inazima
 
Na unatakiwa uchomeke direct kwenye gpu ili iwe inafanya kazi.

Una psu ya watts ngapi?
 
Inatosha kabisa,

Hilo gpu haina port nyengine kama vga ujaribu kama ni tatizo LA Port ama Gpu?
Shukran sana mkuu mzigo unapiga kaz fresh tu bila shida nilienda kutest sehem ingine haijasumbua so sijajua pale kwangu umeme ni mdogo nimetest game japo so heavy game ila inacheza utra high[emoji18][emoji18]
 
Kwa HDMI pia imekubali sio?
 
Back
Top Bottom