Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #1,541
Haijalishi mkuu ni made in wapi, Nani ametengeneza?Lakin nimeona made in China hapa[emoji848][emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijalishi mkuu ni made in wapi, Nani ametengeneza?Lakin nimeona made in China hapa[emoji848][emoji848][emoji848]
Chief msaada kidgo tumeweka hii graphics card haionekani hata tukiii ichek kwenye manager bad hatuioniNimeangalia rx 550 ya xfx Ina rating nzuri tu Amazon, na mauzo ya kutosha.
Kuna mda tuki ichomeka haidisplay so jamaa ameshauli lbd power supply kuna ukwer wowote huusu hiii!?Haijalishi mkuu ni made in wapi, Nani ametengeneza?
Driver zake mmeweka?Kuna mda tuki ichomeka haidisplay so jamaa ameshauli lbd power supply kuna ukwer wowote huusu hiii!?
Ndio tunaweka hap kaka ila ajabu ni amd ila inaadika Microsoft BASIC kama Intel[emoji848][emoji848]Driver zake mmeweka?
huenda hujaweka driver zake og. (Au umepigwa)Ndio tunaweka hap kaka ila ajabu ni amd ila inaadika Microsoft BASIC kama Intel[emoji848][emoji848]
Ndio nadawnload hapa mkuu tuweke nionehuenda hujaweka driver zake og. (Au umepigwa)
Ukipachika hiyo gpu waya wa vga inatakiwa uukonect kwenye hiyo gpu. Na port og za pc zosifanye kazi.
Umedownload kutok kwenye site ya amd na una uhakika ni driver za model ya gpu yako husika?
Ok utaleta mrejesho.Ndio nadawnload hapa mkuu tuweke nione
Ikiandika Microsoft basic ni hakuna drivers za graphics.Ndio tunaweka hap kaka ila ajabu ni amd ila inaadika Microsoft BASIC kama Intel[emoji848][emoji848]
Mrejesho mkuu tumeweka driver imekubal bila shida ila tabu iliyopo hapa ni tukichomeka HDMI direct kwenye card ilakuwa haid display au mda mwingine inazunguka then inazimaIkiandika Microsoft basic ni hakuna drivers za graphics.
Na unatakiwa uchomeke direct kwenye gpu ili iwe inafanya kazi.Mrejesho mkuu tumeweka driver imekubal bila shida ila tabu iliyopo hapa ni tukichomeka HDMI direct kwenye card ilakuwa haid display au mda mwingine inazunguka then inazima
Watts 300 mkuuNa unatakiwa uchomeke direct kwenye gpu ili iwe inafanya kazi.
Una psu ya watts ngapi?
Inatosha kabisa,Watts 300 mkuu
Ina dvi tu mkuu so ndio nataft dvi nioneInatosha kabisa,
Hilo gpu haina port nyengine kama vga ujaribu kama ni tatizo LA Port ama Gpu?
Shukran sana mkuu mzigo unapiga kaz fresh tu bila shida nilienda kutest sehem ingine haijasumbua so sijajua pale kwangu umeme ni mdogo nimetest game japo so heavy game ila inacheza utra high[emoji18][emoji18]Inatosha kabisa,
Hilo gpu haina port nyengine kama vga ujaribu kama ni tatizo LA Port ama Gpu?
Shukran sana mkuu mzigo unapiga kaz fresh tu bila shida nilienda kutest sehem ingine haijasumbua so sijajua pale kwangu umeme ni mdogo nimetest game japo so heavy game ila inacheza utra high[emoji18][emoji18]Inatosha kabisa,
Hilo gpu haina port nyengine kama vga ujaribu kama ni tatizo LA Port ama Gpu?
Kwa HDMI pia imekubali sio?Shukran sana mkuu mzigo unapiga kaz fresh tu bila shida nilienda kutest sehem ingine haijasumbua so sijajua pale kwangu umeme ni mdogo nimetest game japo so heavy game ila inacheza utra high[emoji18][emoji18]
Ndio mkuu imefny kaz vizr tu[emoji120][emoji120]Kwa HDMI pia imekubali sio?