Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Sio mbaya mkuu, hio Cpu ya zamani uzia hata mafundi kama wata itaka kupunguza cost.
Mkuu ivi kuna application yoyote..ya kulicover mfano game ikiliwa zile exe application za game?
JPEG_20210316_151507_5899874246114806116.jpg
 
Ukiona. Exe imeliwa ujue ipo kwenye quarantine ya Ant virus, fungua ant virus, tafuta quarantine Kisha restore.
Shukran sana mkuu pc yangu sasaiv ulinacheza game kubwa mpk ultra bila wew mkuu nisingefikia hiii hatua umeni inspire sana katika hili ubalikiwe sana mkuu nakumbuka mwaka jana naingia jamiii forum nilikuwa na pc yenye detail izi
Pentium g3250..3.5hz
Ram 4gb.
HDD GB 500
Graphics card Intel.hd 4000.

Ila kwa sasa details[emoji116][emoji116]

Intel core i5 4570
HDD gb720...
Ram 8gb...
Graphics card RX 550 ddr5
..
Hakunishauli ninunue mpya Bali alinishauli niapgrade
Ubalikiwe sana mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wakuu ivi ps4 pad inatumia Bluetooth ya speed gan me na 2.0 nilikuwa nakitumia kweny ps3 pad ila kwenye ps4 pad naona kuna kipengere!
 
Wakuu ivi ps4 pad inatumia Bluetooth ya speed gan me na 2.0 nilikuwa nakitumia kweny ps3 pad ila kwenye ps4 pad naona kuna kipengere!
Driver umeeka? Pad za ps kwenye pc zinahitaji kuziset kwanza
 
wadau mmeni-inspire sn , so naomba kuuliza ni desktop gani ambayo nikichukua nitaweza ku-upgrade hadi iyo i7 4th generation
 
wadau mmeni-inspire sn , so naomba kuuliza ni desktop gani ambayo nikichukua nitaweza ku-upgrade hadi iyo i7 4th generation
Celeron G1820, 1830, 1840 na 1840 ni celeron za Gen ya 4.

Pentium G3220 mpaka Pentium G3470 zote ni Pentium za Gen ya 4

I3 a i5 zote zinazoanziwa na 4 kama i3 4100 na i5 4500 na 4600 unaweza upgrade.

Ila sweet point ni hizo celeron na Pentium unazipata chini ya laki 2, pamoja na ku upgrade inakusimamia kama laki 2 tu.
 
Back
Top Bottom