Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Chief-Mkwawa naomba kuuliza kitu hizi namba huwa zinamaanisha nini
Intel HD Graphics 3000, 4000 au 5000 na ipi hapo ni bora zaidi?
huwa processor za intel zinakuja na graphics zake za ndani kwa wale ambao hawana uwezo wa kununua computer zenye graphics nzuri.

hivyo kila generation inakuja na graphics zake,

-intel hd 3000 ilikuja na generation ya 2
-intel hd 4000 ilikuja na generation ya 3
-intel hd 4400 ama 4600 ilikua gen ya 4
-intel hd 5500 ilikuja na generation ya 5

kuanzia gen ya 6 wakawa wanatumia namba 3 badala ya 4
-intel hd 520 ama 530 ilikua gen ya 6
-intel hd 620 ama 630 ilikua gen ya 7, 8, 9, na 10 baadhi

kuanzia gen ya 10 wakatumia iris na gen ya 11 wakaja na brand new graphics za XE ambazo zina nguvu sana.

jambo moja la kufahamu huchagui laptop yako ije na intel hd ipi, hivyo vyema chagua generation kubwa kadri uwezo wako ulivyo automatic utapata intel hd nzuri zaidi.
 
Mkuu hapa nimenunua TV flat 32 ila kuna swali kabla ya upgrade ya mashine yangu nilikuwa siwezi play 4k video ila now naweza swali...4k inapokelewa kwenye TV ama mashine kwa uwezo wa TV yang no 1080p tu VP naweza play 4k video kutoka kwenye masine
IMG-20210407-WA0048.jpg
 
Mkuu hapa nimenunua TV flat 32 ila kuna swali kabla ya upgrade ya mashine yangu nilikuwa siwezi play 4k video ila now naweza swali...4k inapokelewa kwenye TV ama mashine kwa uwezo wa TV yang no 1080p tu VP naweza play 4k video kutoka kwenye masineView attachment 1745583
Kuplay inawezekana ila utakachoona wewe ni 1080p Sababu ya display yako.

Mpaka uwe na display ya 4k ndio utaweza ona kilichokusudiwa.
 
Kwaiyo inamaana hata mwenye 4k display akiplay 8k atachoishia kuona ni 4k tu
 
Ndio mkuu, na 4k inakuja na tech zake kama HDR10 ama equivalent yake toka Dolby, hizi Zina display rangi bilioni 1 kupanda, pia zinakuwa na contrast kubwa sana baina ya nyeusi tii na nyeupe pee. Hizo nazo huzipati kwenye monitor ya kawaida.
 
Dah nili isi nimemaliza kumbe bado nakipengere na 4k monitor kibongo bongo unaweza pata kwer
 
Achana na 4k, ina play hio gpu 4k video ila hutacheza games kwa 4k ama kufanya jambo lolote demanding kwa 4k.

Pia 4k ni gharama sana, Internet tu recommended ni 40mbps, hata kama Unavuta zuku, kifurushi cha zaidi ya laki kitahitajika.

Tafuta monitor ya 1080p ama 1440p taratibu, jijengee urafiki na watu wa machinga complex ama likoma pale kwenye machimbo, subiria Mizigo ikija kapekue,

Unapata monitor nzuri around inch 24 mpaka 27 kwa around 150k mpaka 300k hivi.
 
Ooooh! Hilo nalo jambo zuri mkuu ila na swali kwan 1080p nazo zinatofautiana naamanisha mfano 1080p ya lg ni tofaut na 1080p ya Sony
 
1. Kuna panel tofauti tofauti mkuu kama oled, led, TN, lcd etc nyengine zinakuwa na tech kama ips ku improve viewing angle.

2. Kwa gaming pia unaangalia HZ za monitor pia. Kwa gaming monitor nyengine zinakuwa 120hz, 144hz kuendelea, hii inakuwa ni refresh rate, jinsi game linapokuwa na fps nyingi na monitor kusupport basi game linakuwa smooth hasa games za first person shooter kama battlefield,

3. Kuna tech kama vsync, free sync etc ambazo zinasaidia kukupa smooth gameplay,

4.kuna color support mbalimbali sema sio muhimu sana kwa gaming. Wana Angalia zaidi wanao edit graphics.

5. Unaangalia pia aspect ratio, hizi wide-screen za siku hizi kwa games pia zipo njema sana. Mfano unacheza mpira unaona almost uwanja mzima.
dataimagejpegbase649j4AAQSkZJRgABAQEAYABgAAD2wBDAA-f888a95a82c91f9514955b56ea79b4f1.jpg

Ama wengine wanatumia multi monitor ku achieve kama budget ndogo
images
 
Mkuu jinsi ya kuangalia n ndan ya monitor au nnje kwenye vistiker maaana vioo vingi naona vinaonesha maji ya mchele tu ila LCD naona kama n nzuri pia
 
Achana na 4k, ina play hio gpu 4k video ila hutacheza games kwa 4k ama kufanya jambo lolote demanding kwa 4k.

Pia 4k ni gharama sana, Internet tu recommended ni 40mbps, hata kama Unavuta zuku, kifurushi cha zaidi ya laki kitahitajika.

Tafuta monitor ya 1080p ama 1440p taratibu, jijengee urafiki na watu wa machinga complex ama likoma pale kwenye machimbo, subiria Mizigo ikija kapekue,

Unapata monitor nzuri around inch 24 mpaka 27 kwa around 150k mpaka 300k hivi.
Na kingine mkuu naona bado sipati parfomace nzur kwenye GPU yangu frame rate nyingi kwangu nilikuwa nikipata 52 tu ila kuna game kama rise of the tomb raider na call of duty black ops 3 hizi zinatoa frame rate ndogo sana yhn napata kumi 15 mpk 20 kuna kitu kingine labda naweza kuongezea kama ssd ninayo GB 160 nikiiweka kwenye machine yangu wala siion hata kwenye bios kule haipo ila kwenye manager naiona lakin haifunguki nimejaribu kuweka kwenye laptop ya rafiki yangu pia bado vile vile sina uhakika sana kama ni mmbovu au kuna tricks labda naweza Ku ovecrock hii GPU nipate spid nzur kidgo japo hakuna game inayo ganda ganda wala kuwa slow ila naona haiko smooth kama PS au Xbox.
 
Kingine mkuu kuna utofaut wa parfomace kwenye generation! mfano mwenye generation ya 2 na ya 4 tufanane kila kitu ikwepo ram GPU ssd ila tutofautiane generation tu hapo mwenye generation 4 anaweza kumzid parfomace mwenye generation ya 2?
 
Resolution umeeka ngapi?

Ps na Xbox zipo smooth Sababu zinarun kwa resolution ndogo, ps3 games nyingi ni 480p na ps4 nyingi ni 720p.

Ukiona game unapata fps kidogo shusha resolution.
 
Kingine mkuu kuna utofaut wa parfomace kwenye generation! mfano mwenye generation ya 2 na ya 4 tufanane kila kitu ikwepo ram GPU ssd ila tutofautiane generation tu hapo mwenye generation 4 anaweza kumzid parfomace mwenye generation ya 2?
Ndio anamzidi, ila sio sana kwa desktop
 
Mkuu jinsi ya kuangalia n ndan ya monitor au nnje kwenye vistiker maaana vioo vingi naona vinaonesha maji ya mchele tu ila LCD naona kama n nzuri pia
Unaangalia online mkuu, na most of time monitor za gaming hazina quality nzuri sana, Sababu vioo vyenye response time ndogo na refresh rate kubwa vinakua mchele mchele navyo.

Ila kuna kuwa na sweet spot, baina ya quality na perfomance. Ili upate vyote.

Ukienda dukani Nenda na smartphone yenye internet, unachukua model unaigoogle specs
 
Oooh! Sawa mkuu nimekuelewa katika ili kwa resolution nimeweka kumbwa na vile natumia TV ndio maana nimeweka kubwa sana tena no saiz ya meisho kabisa
 
Kuna games hio gpu inacheza 1080p mfano game za mpira, na nyengine ambazo sio demanding sana.

Ila games nzito inabidi ushuke 720p.
 
Back
Top Bottom