Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Kuna games hio gpu inacheza 1080p mfano game za mpira, na nyengine ambazo sio demanding sana.

Ila games nzito inabidi ushuke 720p.
Mkuu ivi kwa budget ya laki 220k siwezi pata monitor nzur hata nnch 24 coz kwa TV kuna vichenga chenga naviona nimejalibu kuset ila nimeshidwa au kama kuna software yoyote IPO tujuzane
 
1. Unatumia waya gani? Vga ama HDMI?
2. Kwenye pc umeseti resolution moja na TV?
3. Angalia pia kwenye TV yako kama kuna pc mode, ama kifananiacho ili ucalibrate.
 
Kuhusu monitor monitor mkuu ni za kutafuta na kuvizia. Weka budget yako tayari then Pitia deals in Dar ama makundi yafananiayo, zoomTanzania, kupatana etc utapata deal zuri.
 
1. Unatumia waya gani? Vga ama HDMI?
2. Kwenye pc umeseti resolution moja na TV?
3. Angalia pia kwenye TV yako kama kuna pc mode, ama kifananiacho ili ucalibrate.
Hapo ndio cjajua mkuu kwan kwenye PC kuna sehem ya kuset resolution!?..........au kwenye TV IPO mi najuaga kwenye console tu ndio inawezekn
 
Natumia HDMI mkuu
Kwa computer ukiwa desktop right click utapata option ya kwenda setting za graphics na kubadili resolution. Sababu wewe Una gpu ya Amd tumia options za Amd jaribu ku tweak tweak humo ndani kama itasaidia.

Na kwa HDMI hukutakiwa kuwa na chenga chenga Sababu ni digital, somewhere kuna tatizo.
 
Chief-Mkwawa kuna hii laptop nimeiona laptop city naomba muongozo wAko.
 
Ikimbie kama Ukoma,

Hio laptop labda kama Una ofisi inatumia program moja tu kama supermarket ama duka unataka laptop inayokaa na chaji hata umeme ukikatika. Otherwise ipo slow kushinda simu.

Nikipata muda nitaandika uzi wa hizi Cpu ambazo hazipo kwenye core generation.
 
Yah sasa mkuu kwa hiyo bei napata laptop gn?? Namaana 700000
 
Kwa kifupi mkuu hizo pentium na celeron za sasa hivi zimegawanyika makundi kama manne hivi

-Braswell (Airmont architecture)
-Apollo lake (goldmont architecture)
-Gemini lake (goldmont plus Architecture)
-jasper lake (tremont architecture)

Braswell ilikuwa ya zamani zaidi ya miaka 5 iliopita, ilikuwa slow na ndo cpu za mwanzo kabisa, hii celeron 3060 ndio ipo kundi hili, laptop niliyokuambia usichukue.

Apollo lake ikafuatia ika improve perfomance kiasi chake.

Gemini ika improve zaidi na sasa hivi jasper lake imetoka. Nimeangalia jasper lake perfomance yake ni kubwa kushinda i7 7th gen.

Ningekuambia uchukue laptop za hizi jasper lake ila uongo hutazipata mtaani maana ndio zinatoka, realistic tafuta za Gemini lake, zipo.

Hizi ni cpu za laptop za gemini lake
-celeron N4000
-Celeron N4100
-Pentium N5000

Hivyo Angalia source zako ukiipata laptop yenye hio Cpu chukua kwa bei around laki 5 mpaka 7.

Na N4000 ni dual core sana sana Angalia N4100 na N5000 ndio nzuri zaidi.
 
Nilinunua laptop yenye pentium r mwaka 2014 mpaka sasa ninayo ila slow sana yaan
 
Ndo hivyo mkuu na kwa same generation celeron ipo slow zaidi kuliko pentium.

Kama hujali used hio budget unapata i5 gen ya 8.
 
Kiongozi hata ukanipm duka linalouza itanisaidia sana. Mimi bila computer siwezifanya kazi yoyote ya ofisi
 
Mkuu kama ni ofisi na kitu serious chukua mpya, yenye warranty na uhakika, maana used si vitu vya kuaminika 100%.

Chukua hizo za Gemini lake nilizokuambia hapo juu.

Hio mfano wa laptop yenye Celeron 4100 quad-core kwa hio budget yako. Lenovo IdeaPad 330.

Mjini mkuu maduka mengi anzia Morogoro Road ile, na Bibi Titi kwenda Mbele along Barbara ya Mwendokasi, huko Laptop City, maeneo ya KVD makunganya kule etc. Huwezi kosa zipo za kutosha tafuta tu yenye Celeron N4100 ama Pentium N5000.
 
Thanks mkuuu. Tena sana. Hp hawana toleo hili tafadhali
 
Back
Top Bottom