Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Shukrani kaka!Ndio inawaka na basic graphics za motherboard ama Cpu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kaka!Ndio inawaka na basic graphics za motherboard ama Cpu.
Hili hata mimi lilinikuta wakati natumia hdmi, kama tv yako ina sehemu ya vga,tumia vga unapata picha nzuri.Natumia HDMI mkuu
Mkuu hili ishu iko kwa wengi sijajua kwako embu siku jaribu. Yaani kunakuwana chenga chenga. Wakati kwa vga picha inakuwa nzuri.Kwa computer ukiwa desktop right click utapata option ya kwenda setting za graphics na kubadili resolution. Sababu wewe Una gpu ya Amd tumia options za Amd jaribu ku tweak tweak humo ndani kama itasaidia.
Na kwa HDMI hukutakiwa kuwa na chenga chenga Sababu ni digital, somewhere kuna tatizo.
na wewe una Amd ama Nvidia? sina tv ya kutestia, nina monitor tu ya dpMkuu hili ishu iko kwa wengi sijajua kwako embu siku jaribu. Yaani kunakuwana chenga chenga. Wakati kwa vga picha inakuwa nzuri.
Mkuu kuna PC nimenunua kwa mtu ....ila alikua anatumia window 7 ...... Coz yeye alikua anatumia tu kuchek movie ila mim ntatumia kwa mambo ya shule ,je naweza kupiga window 10 ........au hakuna madhara nikiendelea na hii window 7 ..........na wewe una Amd ama Nvidia? sina tv ya kutestia, nina monitor tu ya dp
Ndio minimum specs za win 7 ni sawa na win 10.Mkuu kuna PC nimenunua kwa mtu ....ila alikua anatumia window 7 ...... Coz yeye alikua anatumia tu kuchek movie ila mim ntatumia kwa mambo ya shule ,je naweza kupiga window 10 ........au hakuna madhara nikiendelea na hii window 7 ..........
Pia program ya Microsoft word office 2007 haipo .,..je ntaipataje híii. .msaada tafadhar
Mkuu nina laptop ambayo ina tundu la hdmi. Ila kunauwezekano ikapatikana hdmi to vga cable??*)na wewe una Amd ama Nvidia? sina tv ya kutestia, nina monitor tu ya dp
Nvidiana wewe una Amd ama Nvidia? sina tv ya kutestia, nina monitor tu ya dp
Ila kwa njia ingine tunaweza kusema ni mazoeya coz kuna utofaut kat ya tv na monitor kwenye utoaji wa picha ndio maana tv uwezi tumia ukiwa karibu tofaut na monitor hii imenifany niwe na kaa mbar na tv ili kupata picha nzuri ila kwa monitor ilikuw nakaa karbu tuna wewe una Amd ama Nvidia? sina tv ya kutestia, nina monitor tu ya dp
Yangu haina asee ila now kidogo naona sio mbay nime angaika angaika kuset hatimaye imetulia nowHili hata mimi lilinikuta wakati natumia hdmi, kama tv yako ina sehemu ya vga,tumia vga unapata picha nzuri.
Hili nilikuta kila anayetumia hdmi kuoeleka picha kwenye tv kutoka laptop au desktop picha inakuwa mbaya.
Siku hizi LG Ana TV nyingi ambazo unaweza tumia kama Monitor sema bei zake hela ndefu sana. Tusubiri mtumba tu.Ila kwa njia ingine tunaweza kusema ni mazoeya coz kuna utofaut kat ya tv na monitor kwenye utoaji wa picha ndio maana tv uwezi tumia ukiwa karibu tofaut na monitor hii imenifany niwe na kaa mbar na tv ili kupata picha nzuri ila kwa monitor ilikuw nakaa karbu tu
Inaweza kufika shingapi mkuu kwa makadirio ya chiniSiku hizi LG Ana TV nyingi ambazo unaweza tumia kama Monitor sema bei zake hela ndefu sana. Tusubiri mtumba tu.
-Nano TV zina anzia around 1.5m hivi. Hizi Zina inputs kama za monitor bila Lag ila quality ni ya kawaida Sababu sio za Oled. Kifupi zipo overpriced Sababu ya hii function.Inaweza kufika shingapi mkuu kwa makadirio ya chini
Zipo ila ngumu sana kupata, nyingi ni VGA kwenda HDMI.Mkuu nina laptop ambayo ina tundu la hdmi. Ila kunauwezekano ikapatikana hdmi to vga cable??*)
Around milioni huko ughaibuni, Tena brand ndogo, brand kama LG ni around 1.2mWakuu anayefahamu wapi naweza kupata 4K ultra wide monitors (curved) au kuagiza na bei zake zipo vp.
Mbona zina bei sanaa ivo wazee duuh! Na hapo unakuta ni nnch 24 tu hiyoAround milioni huko ughaibuni, Tena brand ndogo, brand kama LG ni around 1.2m
Uzito ni around kilo 10, hivyo andaa kama laki 6 hivi usafirishaji.
Hivyo kuleta bongo itakucost around 2m.
Kenya naziona around 60k ambayo ni 1.2m ya huku.
![]()
Buy Monitors & Screens Online in Kenya â· Cheap Prices
Find the best, affordable Monitors & Screens for sale in Kenya on â Kenya's Safest Classifieds Website â. Get the best deals on monitors, gaming monitors, computer monitors and much more from trusted sellers on PigiaMe.www.pigiame.co.ke
Hapana ultra wide curve ni kubwa sana, inch 34 kupanda.Mbona zina bei sanaa ivo wazee duuh! Na hapo unakuta ni nnch 24 tu hiyo
Kuna matoleo flani ya Sony bravia ya mwaka 2012 hadi 2014 ni nzuri ajabu. Nilizikuta kwa wapemba mbweni. Ukizitumia kama monitor zina quality ambayo si inchi hii. Zina hdmi na vga ports. Na zina support 1080p/1080i-Nano TV zina anzia around 1.5m hivi. Hizi Zina inputs kama za monitor bila Lag ila quality ni ya kawaida Sababu sio za Oled. Kifupi zipo overpriced Sababu ya hii function.
-Zenye oled na input ndogo zenyewe zina quality kubwa na functions za monitor vyote unapata. Hizi bei zake zina anzia milioni 3 kupanda. Mfano cx 48
Hii nilipata huko huko. Hapo nmeunganisha na laptop via vga. Nilishangazwa na quality yakeKuna matoleo flani ya Sony bravia ya mwaka 2012 hadi 2014 ni nzuri ajabu. Nilizikuta kwa wapemba mbweni. Ukizitumia kama monitor zina quality ambayo si inchi hii. Zina hdmi na vga ports. Na zina support 1080p/1080i