Chief-Mkwawa Hapo kwenye picha kuna maelezo ya processor na display,
1. Kwenye display sijaona specs za GPU, nimeona tu UHD Graphics. Huko juu ulikua unataja HD400 Mfano. Hapa specs zake ni zipi kwa hiyo computer.
2. Processor nataka kujua speed yake ni ipi hasa. Nimeingia ndani zaidi nimekuta imeelezewa hivyo pia kama inavyosomeka hapa chini.
Processor;
Max Clock: 1.2GHz,
Min Clock: 0.4GHz
Current Clock: 3.4GHz
Hiyo 1.2GHz ni nini, na hiyo 3.4GHz ni nini pia?
kancarl
View attachment 1787172
View attachment 1787173