Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

We Angalia tu juu chini pembeni nyuma utaona sticker wameandika model ya pc.
Hapa kwenye low profile mmeniacha kidogo wakuu hii low profile graphics card inakuwaje na extra inakuwaje na nini zaidi kinapungua ama kuongezeka
 
Low profile ukichomeka tu kwenye motherboard unatumia, mfano ya kwako.

Gpu za kawaida kunakuwa na waya unatoka kwenye power supply unachomeka kwenye gpu,

Motherboard inatoa umeme mwisho watts 75 ikizidi hapo inabidi umeme utoke direct kwenye power supply.
 
shukran kiongozi
mi yng iko na
xeon{r} cpu Es-1620 v2 3.70ghz
alo hi kitu inachakatua ni htr iko nyepesi na fast htr

tofauti na hi core {tm} i5-2400 3.10ghz
 
Hio ni equivalent ya i7 3770, sema haina gpu, ni nzuri kushinda i5 2400.
 
Low profile ukichomeka tu kwenye motherboard unatumia, mfano ya kwako.

Gpu za kawaida kunakuwa na waya unatoka kwenye power supply unachomeka kwenye gpu,

Motherboard inatoa umeme mwisho watts 75 ikizidi hapo inabidi umeme utoke direct kwenye power supply.
Oky vp upande wa matumiz na power kiujumra nin kinazidi ama kupungua mkuu
 
Low profile haili umeme sana, ina maana Tanesco hawakusumbui, pia haihitaji powersupply kubwa almost machine yoyote unaweka.

Zinazotumia waya zinakula umeme zaidi mfano rtx 3080 inatumia watts 320 kwa saa, masaa 3 tu unamaliza unit 1, hio ni gpu pekee, sema zinakupa pia perfomance kubwa.
 
Ooooh! Hapo nimekuelewa mkuu
 
Wadau nahtaji cover case ya hii computer HP PROBOOK 6570b Core i5. npo Dar kama unayo tuwasliane 0687886600
 
Low profile haili umeme sana, ina maana Tanesco hawakusumbui, pia haihitaji powersupply kubwa almost machine yoyote unaweka.

Zinazotumia waya zinakula umeme zaidi mfano rtx 3080 inatumia watts 320 kwa saa, masaa 3 tu unamaliza unit 1, hio ni gpu pekee, sema zinakupa pia perfomance kubwa.
Mkuu laptop yangu imestuck kwenye kuwaka inawaka then inaishia kuonesha cursor ya mouth tu, ina Windows 8.1, na niliweka hyo window kma miaka 6 nyuma.
 
Jaribu ku boot kwenye recovery ingia safe mode uone kama inawaka vizuri? Ama hata ingia bios kama inawaka na kufanya kazi huko ina maana hardware ipo Sawa ni tatizo tu la windows.
 
Vp kuhusu AMD maana Ndo znazo trend kwa sasa kulko intel processors?
Pia naomba ufafanuz kuhusu g processor Za intel
Mfano intel core i5 gen ya 10 ina clock speed ya 1.19ghz ila maximum inafika 3.3ghz
Pia naomba kuelimishwa juu ya hyperthreading na umuhmu wake
Chief-Mkwawa Mkuu hili swali hujajibu. Nadhani hujaliona, tunaomba usaidie kutufumbua wengi kuna mengi ya kujifunza hapo.
Na mimi nitaongoza swali hapa chini.
 
Chief-Mkwawa Hapo kwenye picha kuna maelezo ya processor na display,
1. Kwenye display sijaona specs za GPU, nimeona tu UHD Graphics. Huko juu ulikua unataja HD400 Mfano. Hapa specs zake ni zipi kwa hiyo computer.
2. Processor nataka kujua speed yake ni ipi hasa. Nimeingia ndani zaidi nimekuta imeelezewa hivyo pia kama inavyosomeka hapa chini.
Processor;
Max Clock: 1.2GHz,
Min Clock: 0.4GHz
Current Clock: 3.4GHz
Hiyo 1.2GHz ni nini, na hiyo 3.4GHz ni nini pia?
kancarl

Dell Processor.png

Dell Display.png
 
Jaribu ku boot kwenye recovery ingia safe mode uone kama inawaka vizuri? Ama hata ingia bios kama inawaka na kufanya kazi huko ina maana hardware ipo Sawa ni tatizo tu la windows.
Inawaka ila inachukua zaidi ya dk 40, na ikiwaka inastuck mwanzo mwisho hta kupiga refresh tu kazi
 
Chief-Mkwawa Hapo kwenye picha kuna maelezo ya processor na display,
1. Kwenye display sijaona specs za GPU, nimeona tu UHD Graphics. Huko juu ulikua unataja HD400 Mfano. Hapa specs zake ni zipi kwa hiyo computer.
2. Processor nataka kujua speed yake ni ipi hasa. Nimeingia ndani zaidi nimekuta imeelezewa hivyo pia kama inavyosomeka hapa chini.
Processor;
Max Clock: 1.2GHz,
Min Clock: 0.4GHz
Current Clock: 3.4GHz
Hiyo 1.2GHz ni nini, na hiyo 3.4GHz ni nini pia?
kancarl

View attachment 1787172

View attachment 1787173
Hiii ni laptop au desktop mkuu[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom