Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Chief-Mkwawa Hapo kwenye picha kuna maelezo ya processor na display,
1. Kwenye display sijaona specs za GPU, nimeona tu UHD Graphics. Huko juu ulikua unataja HD400 Mfano. Hapa specs zake ni zipi kwa hiyo computer.
2. Processor nataka kujua speed yake ni ipi hasa. Nimeingia ndani zaidi nimekuta imeelezewa hivyo pia kama inavyosomeka hapa chini.
Processor;
Max Clock: 1.2GHz,
Min Clock: 0.4GHz
Current Clock: 3.4GHz
Hiyo 1.2GHz ni nini, na hiyo 3.4GHz ni nini pia?
kancarl

View attachment 1787172

View attachment 1787173
1. kuhusu UHD graphics
mkuu kuanzia gen ya 7 mpaka ya 10 baadhi ya cpu zinatumia tu gpu moja ni ile ile intel hd 620/630, cpu yako sema haitumii gpu hio sababu ni ice lake, generation ya 10 imegawanyika mara mbili ice lake ambayo ni 10nm na canon lake ambayo ni 14nm

kuanzia hii cpu yako sasa yaani ice lake kwenda mbele, gen ya 11 tiger lake na 12 alder lake etc intel officially anaweka gpu kali, maana na yeye amejiingiza kwenye utengenezaji dedicated gpu kama amd na nvidia.

ya kwako wewe inayoishiwa na G1 ni ndogo zaidi (sema kali kushinda gen zote 9 kushuka chini), kuna g4 na g7 ambazo ni nzuri zaidi.

hivyo sasa hivi badala ya kuangalia intel hd 4000 ama hd 530 unaangalia hizo G kwa mbele G1 ndogo g4 size ya kati na G7 kubwa.

2. kuhusu cpu kuna kitu kinaitwa turbo na base clock

base clock ndio hio 1.2ghz hii manufacture anakuhakikishia unaipata na hio turbo 3.4ghz unaipata pale tu cpu ikiwa haina joto sana, mfano laptop yako ina cooling nzuri, umeiweka mahala kuna upepo wa kutosha na feni halijazibwa basi itarun hio 3.4ghz, ila sijui umeweka laptop juu ya godoro, shuka limeziba feni inachemka vibaya basi ujue itadrop hadi 1.2ghz.

most of time laptop kubwa inch 14 kupanda zinasustain turbo, tablet na vilaptop vidogo ndio vinashuka 1.2ghz
 
Kitu ambacho nilikuwa naiomba serikali impatie chief ulinzi maana kwa elimu anayo toa naona dalili za yeye kuibiwa kabisa....wanajamiiii tutateseka sana....[emoji849][emoji849][emoji849]

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
2767406_IMG-20210508-WA0008.jpg

Hii vipi?,
nimeshindwa kujua uwezo wake,msaada tafadhali;
 
hii ni generation ya kwanza kabisa, unaweza tumia matumizi ya kawaida ila kazi kubwa haiwezi kufanya.
Mkuu kuna laptop hapa aina dell inatatizo la kuganda ila ukiikandamiza inaacha kuganda shida inaweza kuwa nin mkuu
 
Kwa ku guess pengine ni tatizo LA HDD mkuu, hdd ikiwa slow laptop huganda, kama connector yake haiconnect vizuri Inasababish kuwa slow, labda ujaribu kutoa na ku Hakikisha ina fit vizuri bila kucheza cheza.
 
Mkuu msaada hapa kidgo nimepiga windows 7 byte 32 ila upande wa sauti inaweka x na ni laptop yhn haina kabisa saut nimejaribu kuset ila bado imekataa vp driver inaweza ikawa sulution hapa
 
Ndio driver ni solution, windows 10 basic drivers zote zinakuja na windows ila win 7 inabidi uweke manual, na si sauti tu, wifi, card reader, ethernet etc inabidi uweke mwenyewe.

Cha muhimu Angalia model Kisha Google model husika na Neno drivers kwa mbele, kisha ingia site ya manufacture utakuta drivers zako zote
 
Mkuu nimeweka ila bado inaniandikia hivi nimejaribu kuchomek earphone pia bado
JPEG_20210524_122109_1518940521745758517.jpg
 
Mkuu nimeweka ila bado inaniandikia hivi nimejaribu kuchomek earphone pia badoView attachment 1796102
Ume weka driver sahihi?

Pia jaribu kutumia device manager, angalia upande wa audio kama kuna driver ama audio hardware yoyote ambayo imekuwa recognized.

Kama hakuna Nenda others utaona kuna hardware zimeekewa vi triangle hizo ndio zinahitaji ku updetiwa.
 
Umeona hapo mkuu ilivyo weka
JPEG_20210524_123644_214461235498880492.jpg
 
Hio video controller pengine ni gpu driver. Angalia vizuri site ya manufacture Hakikisha ni drivers za win 7 32bit. Na sio za win 8 ama 10 ama 64bit
Processor kama hiii unagoogle vp mkuu maana siona hata jinsi ya kugoogle
JPEG_20210524_124633_1254630952537741170.jpg
 
Back
Top Bottom