Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Mkuu gpu ya nnje uwa iko na nguv zaidi hata ya izo za ndani tena km Intel lbd Gen ya 8 kuendelea
Kuna mashine zengine pia zina intel pia zinakuwa na nvidia ama AMD graphic humo humo, je nazo hazina maajabu kumzidi aloweka ya nje?
 
Ukiona hivo hiyo amd au nvdia ndio inakuwa dedicated gpu so lazima Ziwe powerful na iyo inakuwa kwenye laptop San Sana laptop uwezi kuweka gpu ya nnje hiyo ni kwa desktop tu
 
Ila najiulizaga jambo moja, hivi 1gb hiyo ya kwako na 4gb ya onboard zile za intel, ipi inafanya kaz vizuri
Hio inapiga kazi vizuri zaidi na nguvu ya graphics card sio ram yake. Hio ram inaload tu texture ukicheza games kwa resolution kubwa,
 
Na hii je! mkuu bei gan
PXL_20220218_190101240.jpg
 
Chini ya laki 8 ni sahihi.

Sema issue moja mkuu ya gen ya 7 ni kwamba haina utofauti kivile na Gen ya 6 na 4 ila imepitwa vibaya mno na Gen ya 8.

Hivyo kama bei ni kubwa sana mfano laki 7 vyema ununue gen ya 8 hata kama utaongeza kidogo hela.

Otherwise usiharibu hela nunua gen ya 6 ama 4 kwa bei nafuu zaidi.
 
Chief samahani. Kuna app nliinstall kwenye PC nkijua ni crack kumbe ni ransomware. Imekula file zangu, hasa hasa documents (pdf, docx, epub etc) na nyimbo. Imeziencrypt na kuzipa file extension mpya ya .rtgf na kunitumia text message kudai ransom kama $$900 kuzifungua (kuzidecrpyt). Je, hamna namna nnayoweza kuzidecrpyt au antivirus ya kuziclean na kuiondoa kabsa ile ransomware... Natanguliza shukrani.
 
Jaribu program inaitwa Restoro nimeona Mahali wanai recomend kwa huyo Ransomware.
 
Nimenunua pc mpya(refurbished)

Tatizo moto haungii kwenye betri ,nilijua betri ni mbovu nikamfata aliniagizia china hio Pc akaniagizia betri mpya gharama zake still moto haungii kwenye betri ila pc inawaka vizuri iwe na betri au isiwe na betri ila betri haijai

Tatizo linaweza kuna nini !?

Na wapi naweza sovu hili tatizo na kwa gharama zipi

CHIEF MKWAWA na wengine naombeni ushauri

Pc yenyewe hio hapo[emoji116][emoji116]View attachment 2133683
View attachment 2133684
 
Moto ukiwa hauingii hakuna error yoyote unayopewa? Mfano plugged but not charging?
 
Inasoma plugging but moto haupandishi kabisa yaani betri haioneshi kama inajaa inakuwa empty kabisa ukichoma way inazima kabisa

Nikaweka betri mpya ni same situation
 
Je ukizima computer halafu ukachaji bado haijai?
 
Inasoma plugging but moto haupandishi kabisa yaani betri haioneshi kama inajaa inakuwa empty kabisa ukichoma way inazima kabisa

Nikaweka betri mpya ni same situation
Picha sijaona hazifunguki ni PC aina gani ? mean ni HP au dell na model namba
 
HP probook 4330s
HP jaribu kubadili adpter kwa kununua chaji za mtumba mara nyingi zinapatikana pale round about uhuru na msimbazi nikajua dell mana zipo dell km mbili hapa chaji zilikuwa hazipitishi ila siku nilijaribu kuchaji kwa chaji ya APPLE USB typ C zikaingiza hivyo tukaamua kibadili chaji tukanunua za mtumba zikakubari kuchaji mpk leo safi
hvyo nakushauri na wewe badili chaji tafuta CHAJI OG ambapo kibongo ni za mtumba
 
Back
Top Bottom