Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Ambayo kutoka psu kwenda Gpu utatumia connector gani?
Nilimshauri hapo juu, anaweza kutengeneza connector ya 8 pin au kama ni 6pin, kwa kutumia +12v na GND zisizotumika.

Nimewahi kufanya hiyo kitu miaka ya nyuma.

Baadhi ya PSU za zamani zina wattage kubwa tu ila hazina modern connectors.
 
Kama una uhakika mkuu ni ushauri mzuri, hili mimi ni nje ya uelewa wangu,

Na hapo juu umesema 11A kwa 12V hii si kama 132W tu? Rx 580 inakula mpaka watts 200+ wakati wa gaming
 
Hii hapa jaribu kucheki mkuu
1667314314833.jpg
 
Kama una uhakika mkuu ni ushauri mzuri, hili mimi ni nje ya uelewa wangu,

Na hapo juu umesema 11A kwa 12V hii si kama 132W tu? Rx 580 inakula mpaka watts 200+ wakati wa gaming
Untitled-1.png

Ukiangalia hiyo 8 pin connector hao juu utaona kuna 3, +12v lines, na hizo nyingine ni GND, kwa hiyo kama anatengeneza connector lazima atatumia +12v line tatu tofauti ambazo jumla yake itaweza kulisha power GPU bila shida.

Kingine kuhusu 11A 12V hiyo ni limitation ya molex connector, na sio limitation ya power inayotoka kwenye psu.
 
Nimei google mkuu 24 na 8 pin ni za Board, na Pcie ni hio 6 pin. So uwezo wa hii Psu ni Gpu za 6 pin haitaweza kusukuma rx 580.
Hiyo PSU ndogo walau atafute 550W kwenda juu.

Kama ana roho ngumu ajaribu dual PSU.

Niliwahi kutumia power supply mbili 😂 moja ilikua exclusively for Graphics card, ilifanya kazi fresh, ila ni hatari pia kama mtu hana uelewa nazo vizuri.
 
Hiyo PSU ndogo walau atafute 550W kwenda juu.

Kama ana roho ngumu ajaribu dual PSU.

Niliwahi kutumia power supply mbili [emoji23] moja ilikua exclusively for Graphics card, ilifanya kazi fresh, ila ni hatari pia kama mtu hana uelewa nazo vizuri.
Wew ushauli wako kuna muda nauhofia Sana asee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2404314

Ukiangalia hiyo 8 pin connector hao juu utaona kuna 3, +12v lines, na hizo nyingine ni GND, kwa hiyo kama anatengeneza connector lazima atatumia +12v line tatu tofauti ambazo jumla yake itaweza kulisha power GPU bila shida.

Kingine kuhusu 11A 12V hiyo ni limitation ya molex connector, na sio limitation ya power inayotoka kwenye psu.
Sasa atapelekaje hizo watts kwenye gpu asipotumia Molex?
 
kwa matumizi ya kawaida ni computer nzuri na kama atatumia kucode na kuhandle vitu vya kawaida vya computer haitasumbua na pc hizo hukaa sana na charge.

ila nina wasiwasi kama atapata interest na vitu advanced zaidi vya computer hapo baadae inaweza kumkwamisha,

kama utaweza kupata acess ya computer zenye i5 6300hq itakuwa ni vizuri zaidi, ila ukikosa au ikiwa out of budget hio sio mbaya pia.
Vipi hii nayo Iko kwenye kundi gani mkuu na vipi kuhusu utendaji kazi wake!!? Ni DELL LATITUDE E5250.
Pia nikitaka kununua SSD ama hard disc ninunue ya Gb ngapi!!?
Shukrani
IMG_20221022_234220_705.jpg
 
Hii pia matumizi ya kawaida haina neno ni gen ya 5.

Ssd nunua kadri uwezo wako unavyomudu.
Msaada mkuu Nina laptop ya Acer imekufa kioo nilijaribu kuinstaill window ikataa kudisplay nimetoa kioo bado imegoma kudisplay kuna njia yoyote hapa naweza Fanya natumia vga Ila hata nikitumia HDMI bado cioni kitu nimeweka window kwenye Mashine ingne pia nihamishie lakin bado
 
Unatumia tv ama monitor? Kama ni TV jaribu monitor, kuna tv za ajabu hazioneshi mpaka windows iboot.

Alternative jaribu bootable flash za linux ambazo hu install unaiweka tu kwenye flash na kuboot na usb.
 
Bado imekataa hap nikuweka kioo Tu asee natumia monitor
 
Katika pita pita zangu nimekutana na Hii jamaa anauza ni Watts 400 View attachment 2404198
Ikiwezekana chukua hii tu mkuu then nunua na Gtx 1060 6gb kiuwezo haipishani na rx580.
gtx 1060 inatumia watt 400 na pin 6 connector

sema bei jumla ni around laki 3.5 pamoja na sheeping AliExpress.
 
Mkuu samahani Mimi Sina ufahamu wa kutosha.
Naomba unipe elimu ya kutosha kutofautisha Kati ya hard disc na SSD.
Asante.
Hard disk kama jina lilivyo ni Disk ndani kunakuwa na kitu kama CD kinazunguka na kuhifadhi vitu.

Ssd ni flash kama memory card sema zinapangwa nyingi na zinakuwa na speed sana.

Machine yenye ssd inakuwa na speed sana kufanya mambo ya kawaida ya kila siku, ukiwa na ssd yenye speed kubwa computer inawaka ndani ya sekunde 10 tu,

Hdd zenyewe zipo slow ila ni bei rahisi.
 
Back
Top Bottom