D___________Loy
Senior Member
- Jan 21, 2020
- 168
- 146
una maanisha m.2? kama hii?
![]()
vyema ssd ikawa ni m2 incase una uwezo wa kuinunua, zina speed kuliko sata, then hio sehemu ya sata ukaweka hdd ya kuhifadhia mambo usiyotumia mara kwa mara.
Nimefanikiwa kupata Microsoft Office 2021 kwa kudownload pitia Utorrent. Nimepata huduma nzuri sana, nimeweza login bila shida na iko activated kabisa. Hawanisumbui tena labda wanivizie tena 😀. Chief-Mkwawa Mungu akubariki sana. Unajua Sana kiukweli.kikawaida unadownload office na crack pamoja, cheki torrent.