Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

una maanisha m.2? kama hii?
MZ-V7S500BW_001_Front_Black.jpg

vyema ssd ikawa ni m2 incase una uwezo wa kuinunua, zina speed kuliko sata, then hio sehemu ya sata ukaweka hdd ya kuhifadhia mambo usiyotumia mara kwa mara.
kikawaida unadownload office na crack pamoja, cheki torrent.
Nimefanikiwa kupata Microsoft Office 2021 kwa kudownload pitia Utorrent. Nimepata huduma nzuri sana, nimeweza login bila shida na iko activated kabisa. Hawanisumbui tena labda wanivizie tena 😀. Chief-Mkwawa Mungu akubariki sana. Unajua Sana kiukweli.
 
Kuna mashine moja ilikufa processor ndio nikachukua Ila bado cjaifunga kwangu
issue mkuu desktop za bei rahisi hazikubali hizi psu zinazokubali gpu, sema sio impossible unaweza zurura kkoo na machinga waweza bahatisha server ama workstation fulani yenye full psu.
mkuu hivi machine yenye core i5 gen 7 au 6 na i7 gen ya 5 au 4 ipi itakua na nguvu zaidi, kwa hapa hapa bongo bei inaeza kua kama shingapi hivi kwa hizo machine CPU yenyewe.
 
Deaktop? I7 gen ya 5 ngumu kuipata ila kama unaipata ni nzuri zaidi kuliko zote ulizotaja kama huna Gpu.

Hakuna utofauti mkubwa baina ya Gen ya 2 mpaka ya 7.

I5 ina thread 4
I7 ina thread 8.

Kuanzia Gen ya 8 ndio kuna changes kubwa i7 inaenda hadi thread 12. Kama unapata deal zuri tafuta gen ya 8 mpaka 10, hata kama ni i3, nishaona i3 nyingi tu gen ya 10 around laki 3. Hizi zina nguvu kushinda hizo i7 za zamani na utakua na upgrade path nzuri.
 
alafu mkuu kuna hii inshu ya speed ya unakuta zingine zimeandikwa core i3 1.7 GHZ or hyo hyo i3 generation moja af ina GHZ tofauti, hapo inakuaje mkuu.
 
Hizi Ghz ndogo ni laptop, pia angalia turbo speed usiangalie tu base speed. Unaweza kuta ni 1.2ghz ila ina turbo hadi 4.0ghz.

Pia kwa same generation yenye ghz kubwa itakua na nguvu zaidi, ila kama una Compare generation tofauti Ghz hazina maana.
 
Hapo upo sahihi mkuu,

Mimi nna HP PROBOOK core i7 8th gen ina turbo speed
 
alafu mkuu kuna hii inshu ya speed ya unakuta zingine zimeandikwa core i3 1.7 GHZ or hyo hyo i3 generation moja af ina GHZ tofauti, hapo inakuaje mkuu.
nashukuru sana mkuu, kwa i3 gen ya 8 ram zake huaje DDR3 au DDR4, na upande wa GPU naskia Kimbembe ni kuweka GPU, make unakuta PSU inakua na nguvu kidogo hali ya kishindwa kusukuma GPU.
hapo kwa budget zetu za kulenga na manati ukitaka kuweka GPU inakuaje mkuu.
 
Gpu zipo za aina mbili low profile low power ambazo hazitumii zaidi ya watts 75 na zinafit karibia machine yoyote.

Full height gpu ambazo zinatumia watts zaidi ya 75 hizi zinataka uwe na Psu inayosupport.

Kwa hizi za kina dell na HP inabidi utumie hizo low power gpu ambazo kwa sasa nzuri zaidi ni Gtx 1650 na Rx 6400 xt.

Hizi low profile zinacheza hadi 1080p 60fps sio mbaya kwa bei unazozipata.

Kuhusu DDR3 na 4, ni gen ya 6 ndio zilibadilika, Gen ya 6 inatumia tech zote mbili kutegemeana na Mobo yake, geb ya 5 kushuka ni ddr3 na gen ya 7 kupanda ni ddr4.
 
sasa mkuu unaeza ni recommendia model ya PC ya kwenda kucheki yenye hio i3 8gen to 10, brand gani itakua ndo affordable.
 
Hizi ni za kutafuta na Tochi, kokote utapoikuta ulizia, cheki kupatana, Jiji, Machinga Complex na Kkoo Likoma na Agrey na maeneo ya karibu.

Brand haina maana yoyote kwenye desktop, angalia tu hio powersupply, ukipata yenye psu nzuri (japo ngumu kupata) itakusaidia baadae kwenye Gpu choice
 
Kwa wale wanaojiweza Low Profile Gpu ya Rtx A2000 ilikuwa bei ndefu ila imeshuka hadi $250-300 pengine ikaendelea kushuka.

Amazon product ASIN B0BG8Y3KCM
Hii ina perfomance kama Rtx 3050 wakati inatumia umeme kidogo toka motherboard, inakubali machine zetu hizi za kina dell na HP.
 
mkuu mm niko nje ya mada pc yang inae tatzo yan nikiwasha baada ya kueka pasword inaload kidogo alafu inazma yenyewe shda itakua nn apo
 
Shida inaweza kuwa mambo mengi, kwa kuanzia kama una flash ni bootable ya linux jaribu kuwasha nayo utumie kwa muda kidogo kama inaboot na kuwaka kwenye linux ina maana ni tatizo la windows kamq na huko inazima ina maana ni hardware issue hasa hasa cpu ina overheat vitu kama thermal paste imekauka. Haitoi mlio wowote?
 
ikiwa inawaka feni inanguruma kama jenereta[emoji17]
 
Cooling hio mkuu, Feni linazunguka kwa kasi sababu Cpu ya moto sana,

Hio thermal paste kupaka ni muhimu sana, inauzwa pia bei rahisi tu, as cheap as 3000.
 
inaekwa au inapakwa kwa wap ukishafungua pc mkuu
 
Back
Top Bottom