Muongozo wa namna ya kwenda Israeli kuungana nao kuwapiga Hamas na wapalestina

Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.

Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank.

Kuna utaratibu uliowekwa?
Inaelekea huelewi historia ya huu mgogoro. Soma sana makala ya huu mgogoro na ukiuelewa ndio uje na option yako.
 
Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.

Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank.

Kuna utaratibu uliowekwa?
Je Mungu wako (Jehova) hana uwezo wa kufanya hilo hadi uende wewe?
 
Sasa nyie kizazi cheusi atawapokea nani na viherehere vyenu,wayahudi kutoka matombo morogoro
 
Hiyo ni kazi yetu maana mlivamia ardhi yetu.
That is a contradiction

Contradiction inayokusaidia kutambua kwamba Mungu (Allah) anayedaiwa kuwa ni muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Hizo zote ni hadithi za kutungwa tu na watu.

Bila watu, Mungu hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…